Viongozi wa cuf tumieni uchaguzi mdogo wa ARUMELU kumjibu Hamad kwa vitendo

KIRUNGI

Member
Jan 14, 2012
41
8
Kumekuepo na mabishano kati ya baadhi ya viongozi wa cuf na mbunge wa Wawi mhe Hamad Rashid,wakati mmoja hamad akidai chama cha cuf kimekufa bara,viongozi wakisema hakijafa.Huku maalim seif akitolea mfano kwamba cuf bado iko ngangari bara nakama watu hawajui waende kwimba watakuta kuna madiwani wanane toka cuf.mm naweka hoja mezani ili kujua uhai wa cuf bara upo au haupo ni cuf kwenda ARUMELU,ikiwa wataweza alau kufikisha kura 3000,itatosha kujibia uwepo wa uhai wa cuf bara
 
Mkuu wangu CUF haina hata ofisi mkoa mzima wa Arusha.Wao wamejikita Pemba tu.Sidhani kama Arumeru wanajua kuna chama kinaitwa CUF
 
Back
Top Bottom