Viongozi wa chadema ndani ya Ifakara -Morogoro

miti

Senior Member
Jun 16, 2012
136
23
Habari ya kazi wana jf, chadema wameingia ndani ya ifakara kama nusu saa iliyopita tumewapokea mapokezi ya kufa mtu hadi nyinyiemu wamechanganyikiwa, mana ofisi yangu iko jiran na barabra basi ni hatari tu bodaboda na wat wa miguu ni wengi sana, katika pitapita yang nimekutana na mwenyekiti wa wa kata flani maeneo haya anaongea na wana ccm wenzake kuwa wananchi wa ifakara hawana mpango na chadema kwani wameshaona serikali ya chama cha mapinduzi inawajali sana na imeamua kuwaletea trekta hivyo saizi wananch wanajirudi, mara akatokea mpitanjia akawajibu trekta tumeletewa sisi au wanajeshi? Habari ndo hiyo saizi naelekea kiungani ambako ndo uliko uwanja wanaoenda kuhutubia chadema na uwanja uko pua na mdom na kituo cha polisi hivyo spati picha itakuwaje. Nitaendelea kuwajuza kinachoendelea.
 
Asante Kamanda endelea...
 
Leo nilimuona raisi wa watu akikatiza pale morogoro. Nilipata faraja kuona bado yupo katika muendelezo wa ukombozi.
 
wakuu picha mnaingiza vp ninazo nashindwa kuziingiza
 
IMG0083A.jpg IMG0092A.jpg IMG0095A.jpg

wakuu picha ndo lkn simu yangu haiko fresh wakuu

IMG0093A.jpg
 
asante kwa taarifa na tumerizika kwa picha,tunajua kipato cha mtanzania.
 
Mkuu 2nashukuru sana kwa tarifa nzura,,,,nyinyiem kama vipi 2nawapa dole la kati
 
Halafu kiongozi mmoja anayezeeka vibaya anasema kuwa CHADEMA itakufa kabla ya 2015...ha ha ha ha ha!!!

mwache aendelee kuota ndoto za mchana. atakuwa anaweweseka huyo, maana kimbunga cha CDM sio wazee tu, hata vijana wa magamba wanaweweseka ile mbaya. CDM forever. kwa kuwa CDM ni sauti ya wanyonge, huyo mzee itabidi afe kwanza yeye aiache CDM ikamilishe misheni yake ya kuwakomboa wanyonge.
 
Msimlaumu mzee alisema hayo baada ya kuzinduka kutoka usingizini. Aliota nyinyiemu inaizikwa akamua ku-compasate maumivu kwa kuitaja chadema.
 
Picha hizo ni nzuri sana. Hatuhitaki kuona kama sura za wahusika zina vipele au ziko soft, zaidi picha ni ushahidi wa kuaminika zaidi kuliko maneno matupu.
M4C FOREVER.
 
halafu kiongozi mmoja anayezeeka vibaya anasema kuwa chadema itakufa kabla ya 2015...ha ha ha ha ha!!!

mwache atakuwa kama yule mtabiri mkuu aliyetabiri mwisho wa dunia, chakushangaza ilipofika hiyo siku akafa yeye.
M4c forever
 
Back
Top Bottom