Viongozi wa chadema ndani ya Ifakara -Morogoro

Sawa lkn weka picha za mkutano. Ushauri simu za kichina ukisha-capture picha don't move your phone wait for atleast ten seconds.
 
siunajua ndo maisha bora kwa kila mtanzania na ndo mana hata cm zetu ni zakuungaunga ukizingatia mimi ni mtoto wa kike siwezi kubeba tofari au zege si nitakufa? ila siyo mbaya tutafika tu mungu yupo
 
icha hizo ni nzuri sana. Hatuhitaki kuona kama sura za wahusika zina vipele au ziko soft, zaidi picha ni ushahidi wa kuaminika zaidi kuliko maneno matupu.
M4C FOREVER.

sawa mkuu nashukuru kwa ushirikiano wenu naona leo wako vijijini kwa wale ambao wagumu kuelewa sasa leo wataenda kuelewa tu.
 
asante kwa taarifa na tumerizika kwa picha,tunajua kipato cha mtanzania.

nashukuru kwa kulitambua hilo
 
Mbona naona kama ndoo za maji vipi hamna dasani?

hizo sio ndoo za maji huyo ni tundu liso alikuwa anachangisha mchango kwa wananchi ndo niwa nimemuotea mkuu
 
Back
Top Bottom