Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

Tazama picha halafu useme kwanini yule mwandishi alimkumbatia mkuu wa polisi?

Mkuu Zomba,,marehemu alikuwa anapokea kisago cha hatari toka kwa askari,kumkumbatia nadhani alifanya hivo kwa kuamini ni ofisa ndo itakuwa rescue yake,,ni sawa na mtoto akichapwa na baba yake unakuta anakimbilia kwa mama akitegemea sympathy.U can see,,hakunuia kumdhuru,with his camera kama unavoiona mikononi mwake
 
Walitoka walikotoka wakaenda nyumbani kwake wakauwa au sio?

Mwandishi wa habari ni mtoa habari na anaruhusiwa kuhudhuria mahali popote ambapo anajua habari ipo. Na ufunguzi wa tawi kwa CDM ni habari. Ulitaka marehemu akae nyumbani halafu aandae habari za kufikirika? Da SSM dhaifu na legelege hadi watu wake. Uvivu wa kufikiri. First hand information, is the right information!!!
 
Na aliouliwa alitoka Kinondoni au sio? Ngoma moja bila!

Askari walichukuliwa maeneo mbalimbali ili kuthibiti CDM!!! Mnakosea, CDM ni wananchi, wako tayari kujitoa mhanga, wamechoka. Ahadi zenu za uongo na hewa za kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi hazipo. Halafu siku hizi hamthubutu kuzitaja tena!!!
 
Agenda nzuri ni
1)Kulipiza visasi kwa Makamanda wa policcm, hasa wanapokuwa Bar au nyumba ndogo
2)Kulipiza visasi kwa Mama/Baba zao, Wake/Waume zao, Kaka/Dada zao ikishindikana basi na watoto zao
3)kuwatafuta kila kona kuanzia madukani, nyumba za ibada, mashuleni na kuwakata visu na kuacha alama ya ccm

Busara na subira ni kitu mhimu kabla ya kuhamasisha au kuchochea jambo mi naona chuki na hasira tuzipeleke kwa serikali inayotuongoza kwa hawa askari hawana makosa ila misingi mibovu tuliyoirithi kutoka kwa wakoloni na kuendelezwa na serikali dhalimu ya CCM. Kama tukichukua hatua kama yako najua na wewe kwenye mkondo wa kuuliwa utakuemo kwani hawa askari ni watoto wetu wake zeku kaka zetu majirani marafiki binamu na tuko nao kwenye mazingira ya kila siku jaribu kuongea nao fanya research utajua ninachokimaanisha!
 
IGP Said Mwema Munisi siyo tu kada wa chama cha MAGAMBA ila pia ni Bwa'shee wa Mkuu wa Kaya.
mimi nina nashaka sana na uraia wa said mwema.inasemekana wazazi wake waliingia tanga wakitokea kwao comoro . ni mngazija na ndo maana haruhusu nywele zake kukua maana ana uarbu flan hivi. ndo maana hana uchumgu na damu za watanzania anazozimwaga. wakuu chunguzeni kwa umakini wa kutosha
 
Tazama picha halafu useme kwanini yule mwandishi alimkumbatia mkuu wa polisi?
.

Alikuwa anajieleza na kuonesha ile kamera. Polisi walijua walichokuwa wanafanya. So sad si ajabu alikuwa anaomba hifadhi hakuwa na uwezo wa kupambana na silaha zile anaoneshwa mtutu wa bunduki tena tumboni. Case ya jana ilipangwa kabisa na walijiandaa tangu mchana jana na kuna mtu alileta thread hapa kabisa kuwa polisi wamepanga kuua Iringa na sijui kama mods wameitoa au vipi. Na kweli wakaua.
 
Ni aibu eti mpaka sasa waziri mwenye dhamana na usalama wa raia hajasema chochote kuhusiana na mauaji hayo,kazi kujipendekeza kwa mafisadi na dhaifu aendelee kuwepo serikalini hii na ijayo. Jitokeze utoe tamko kulaani policcm usione aibu
 
Tazama picha halafu useme kwanini yule mwandishi alimkumbatia mkuu wa polisi?

Tatizo liko wapi kwa mwandishi kumkumbatia mkuu wa polisi akiomba msaada?wakati
alikuwa anapigwa na askari wake wa chini!!!!
 
Hivi camera ya marehemu, nani aliichukua? Mkanada wake unaweza kuwa na maana kubwa sana

Polisi wetu huwa hawaachi kitu cha thamani!!! Ukitaka kujua hilo we subiri uwekwe mahabusi na valuable zako. Ukisha kurudishiwa hata kama uliandikisha utakutana na hitilafu. This is Tanzanian Police Force. Na kwa jana imeshapigwa bei na mkanda kuchomwa. Hebu wanahabari waliokuwepo watusaidie kwa hili.
 
Kwa hili Polisi hawana pa kutokea.Waandishi wa habari wana kinga popote pale.
Ndio maana hata vitani wao wanaripoti bila kudhuriwa na upande wowote ule.
Kuua mwandishi wa habari au mfanyakazi wa Red cross ni kosa na hilo halina ubishi.
 
Walitoka walikotoka wakaenda nyumbani kwake wakauwa au sio?
Ndugu Zomba hapa kwa kweli wa kulaumiwa ni jeshi hata kama utasema Chadema walikaidi lakini kitendo walichomfanyia mwandishi na kumuua hakina uhusiano kabisa na Chadema
 
Mkuu kuna mtu yupo kwa id ya Zomba sidhani kama kuna haja ya ku argue nae,inatakiwa kujadili hoja za msingi humu,na si mbumbu mmoja awatoe watu nje ya mada,tuwe serious na si kuchezewa akili
 
Ndio maana Lowassa anawaambia Elimu kwanza, mmekomalia kilimo kwanza. Mkuu, Shule kwanza,kujua kubofya kibodi na shule ni vitu viwili tufauti....

Mkuu huo ushauri ungempa Mbowe na Lema hawana shule...kumbe unamkubali Gwanji Lowassa.
 
Hivi mie nawauliza jazaba za nini? ndio mtarudisha uhai? kaeni mfikiri kilichompelekea kwenye kifo chake, wacheni kuwa na fikra mbaya. Mtatukana humu mpaka mshikwe na usingizi, haiwasaidii chochote, sanasana mnapoteza mawazo mema.

Kilchompelekea kifo chake ni kazi alikuwa kazini polisi wakamuua.
 
Kwa hili Polisi hawana pa kutokea.Waandishi wa habari wana kinga popote pale.
Ndio maana hata vitani wao wanaripoti bila kudhuriwa na upande wowote ule.
Kuua mwandishi wa habari au mfanyakazi wa Red cross ni kosa na hilo halina ubishi.

Asante Mkuu hebu tafuteni hizo sheria halafu nawaomba viongozi wa waandishi wa habari wawasiliane na Legal and Humarn Rights centre ili wajue ni namna gani watafungua kesi dhidhi ya serikali. Hata mimi ninaju akabisa kuwa watu wa habari wana kinga kabisa wakiwa kazini na huwa wanapewa uhuru wote ili mradi wasivunje sheria. Na ukiangalia picha zote utaona alikuwa na kamera yale maskini wa Mungu na hakuwa na shari na POLISI SSM. So sad.
 
Dr Slaa amkumbushe Mwema kuwa jana Vice President alikuwa Bububu kufungua campaign za CCM kwa vifijo, nderemo na taarab. Amri ya vyama vya siasa kutofanya mikutano ya hadhara wakati wa sensa inahusu vyama vipi?

Hii ni ajabu sana kwa kweli CCM wamefilisika na hil jeshi la polisi ni mfilisika mwingine. Such obvious double standards manake nini? We need outside intervention to resolve this nonsense. Tanzania inakwenda wapi jamani???
 
Tazama picha halafu useme kwanini yule mwandishi alimkumbatia mkuu wa polisi?

Alikuwa akiwaomba wamnusuru maisha yake,kweli kuna wanyama humu!halafu mods issue kama hii ya kuuwawa kinyama hivi kwa mtanzania mwenzetu asiye na hatia,ambaye ni dhahiri he was begging for his life! mnaachia watu wanao mdispise marehemu kiasi hiki?uungwana uko wapi?ina maana wewe ulitaka marehemu aikumbatie ile bunduki iliyomwua?
 
Back
Top Bottom