Viongozi wa CCM wengi wameacha kutumia JF ukilinganisha kipindi cha nyuma? Sababu ni uwoga

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,613
8,748
Miaka ya nyuma JF inaanza kulipamba sana viongozi wa CCM wengine mpaka wakawa wanajinadi kwa wafanyao na kutoa mawazo ya kiutendaji.

Ila mambo yamebadilika kama wanao kuwepo hapa JF ni wachache au wamebadilisha ID ambazo kwamtazamo zinaonesha ni watu wa ovyo ID mpya.

Tatizo ni uwoga hapa JF kwamba watakutana na hoja wakashindwa kujibu?

Mfano waziri mwigulu lile neno tukahamie burundi ingekuwa kalisemea humu JF hata ule uzi wa kula kimasihara ungepitwa kwa comment.
 
Uliiona hii huko Gaza

JamiiForums867724654.jpg
 
Back
Top Bottom