Viongozi na wanachama wa CCM Zaidi ya 3680 wanasubiri Kadi za CHADEMA wilaya ya Same

tunapendekeza halima mdee afike same maana ndo kwao awahamasishe vilivyo halima usiache kwenda same
 
Hivi kumbe bado hakuna ofisi ya wilaya ya chama letu. Mnyika na wengine fanyeni fasta jamani. Hongereni sana wana SAME Murungu amgenje Nguvu ya Vantu itisha sana. VIVA CHADEMA
I declare my interest mimi ni mwana CDM, nashangaa sana kuona tunafurahia kupata wanachama wengi lakini hatujali kuimarisha infrastructure zikiwemo ofisi. Tutawezaje kusema tumejiandaa kushika dola kama hadi sasa hatuna ofisi hata za wilaya?, na tunawezaje kuwalea wanachama wapya wanaoingia?

Wananchi wanaojiunga si kwamba wanakuja kugawiwa pesa la, wanakuja kwa matumaini kuwa angalau wamepata watu wa kusikiliza matatizo yao, kama hawataona hata balozi wa kuwasikiliza tusione ajabu wakarudi walikotoka. Tusifurahie leo kupata wanachama wapya 1000 tujue na gharama ya uendeshaji inaongezeka. Sidhani kama chama kinaweza kukosa fungu la kutafuta angalau mapango ya ofisi za wilaya achilia mbali ofisi za kata. Hili lazima litazamwe na uongozi wa juu kwa ukaribu zaidi.
 
Mkuu huoni ni busara kuwasiliana na hao viongozi wako kwa taratibu za kiofisi, na kwa njia zinazokubalika kama nawe ni muhusika huko Same
sioni ubaya wa post yake...nathani ameweka msisitizo ili Dr Slaa aione hii post! of which is a great idea...
 
Viongoz wa CHADEMA Taifa Tunaomba mikutano ya ufunguzi wa ofsi Wilaya ya Same Kata ya Makanya, suji, Chome na Gavaosaweni kwani tunazo ofisi za Kata ambazo zipo tayari tangu mwez wa 1 ilabado hazijafunguliwa rasmi. Ikumbukwe kuwa kata ya makanya inayo madini ya jasi ambayo muda mrefu yamechimbwa bila kuunufaisha uma wa makanya, tunao udongo mwekundu ambao unasafirishwa kwenda kenya, liposhamba la mkonge na migogoro mingi ya ardhi. Tunaomba mje mapema mwezi huu kufungua ofisi zetu na matawi zaidi ya 30 kwani ni aibu tangu mwez wa 1 hakuna ufunguz rasmi. Kwasasa tunafanya mikutano ya kuchagua mabaloz na viongozi wa matawi ila hatuna vifaa kabisa yaan bendera, kadi na miongozoTuwasiliane 0788177315

Muungsnishe na kijiji cha Mwembe ili nguvu iwe kubwa. Kila la heri.
 
Nafikiri Same nayo ipo Kilimanjaro kama sijakosea

Hujakosea mkuu Rejao, tuliza boli tunawatekenya akina Matayo David Matayo, Prof. Jumanne Maghembe na Mropokaji na kigeugeu Anna Kilango Malechela 2015 wataisikilizia Same kwenye bomba.
 
Zanzibar ni koloni la tanganyika. Mzanzibar shiriki katika harakati za kudai uhuru wa zanzibar - 2012.

MZANZIBAR MZALENDO KULIKONI?? NDO UMEJIUNGA JANA NA KUWA BANNED LEO, WE MKOROFI TUNAJADILI UFUNGUZI WA MATAWI YA CDM WEWE UNALETA MAMBO YA UHURU WA WAZANZIBAR?? UNAKURUPUKA SASA WEWE
:target:
 
Natumai wahusika pia mlo karibu na viongozi wa chadema mtasaidia kuwafikishia (kudisseminate) ujumbe huu muhimu kwa viongozi wa chadema, kwani chama ni wanachama na wanachama ndo hao wanasubili kwa hamu kuungwa mkono na viongozi wa chadema
 
Viongoz wa CHADEMA Taifa Tunaomba mikutano ya ufunguzi wa ofsi Wilaya ya Same Kata ya Makanya, suji, Chome na Gavaosaweni kwani tunazo ofisi za Kata ambazo zipo tayari tangu mwez wa 1 ilabado hazijafunguliwa rasmi. Ikumbukwe kuwa kata ya makanya inayo madini ya jasi ambayo muda mrefu yamechimbwa bila kuunufaisha uma wa makanya, tunao udongo mwekundu ambao unasafirishwa kwenda kenya, liposhamba la mkonge na migogoro mingi ya ardhi. Tunaomba mje mapema mwezi huu kufungua ofisi zetu na matawi zaidi ya 30 kwani ni aibu tangu mwez wa 1 hakuna ufunguz rasmi. Kwasasa tunafanya mikutano ya kuchagua mabaloz na viongozi wa matawi ila hatuna vifaa kabisa yaan bendera, kadi na miongozoTuwasiliane 0788177315

This is Tanzania na hii ndiyo Chadema bwana!

M4C.
 
Chukua namba za MBOWE HIZI 0784779944
 
mkuu chukua hii hapa no

Katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro 0787777790,
 
Back
Top Bottom