Viongozi CHADEMA wapigana na Mgombea wa CUF Nandekwa

Huyo mahona hata kwenye macho tu anaonekana kakamua bangi ile mbaya...
 
Picha imekuumbua we kìhiyo wa habari mbona viongozi wa Cdm hatuwaoni hapo!!
 
10_11_zbn8gk.jpg

attachment.php
 
Mkuu una maana Nyandekwa au? Nimeondoka miaka mingi Igunga ila sikumbuki kuacha kijiji kinaitwa Nandekwa nakumbuka Nyandekwa! Tuyaache hayo vyote ni vijiji tu kama vipo. Kwa hiyo Mkuu unataka kusema kwamba CDM ni wagomvi tuu, wanataka wao tuuu ndio wawe na Helkopita kwa kuwa ni waasisi wa Helkopita?

Sikutegemea.
 
Back
Top Bottom