vinundu vigumu kifuani ni maradhi gani?

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,428
1,475
heshima kwenu wadau.nimepatwa na vinundu vigumu kifuani kwangu kwa muda wa miaka mi3 sasa.huwa haviumi ila vinawasha kwa mida fulani kisha vinaacha.vimetengeneza kama mafungu matatu kimoja kikubwa mfano wa ukubwa wa njegele na vingine ni vidogo kabisaa.nimejaribu kumuuliza daktari akasema nisiwe na wasiwasi ni maumbile tu.sasa naomba kuongezea maarifa humu jamvini jamani je ni ugonjwa gani au ni dalili ya kitu gani mana naogopa .nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom