Vinega v Ruge

Taborian

Senior Member
Jan 1, 2018
192
222
Kutoka mwaka 2010 hadi 2012 kulitokea harakati iliyoasisiwa na Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu. Harakati hii ilisadikiwa ilitokana na uhasama binafsi wa sugu vs clouds, dhana ya pili ni kuwa ilitokana na hasira za Sugu kupokönywa mradi wa malaria na clouds kwa msaada wa mh j.makamba. Harakati hii ilitwa VINEGA na kisha kufanikiwa kutoa Mixtapes 2 ziitwazo ANTIVIRUS Vol 1 ya 2010 na Vol 2 ya 2011. Katika mixtapes hizi nyimbo kadhaa za 'mtoni' zilitumiwa, mathalani get money ya 50 iliitwa clouds get money, get back up ya T.I iliitwa hello wafu fm.

Nyimbo hizi mbali na kauli za matusi na udhalilishaji, zilitoa hoja ambazo ndio yalikua malalamiko yao ya msingi.
1. Clouds na mwanafa kuhodhi utawala wa bongo flava kwa kuanzisha chama chao cha muziki(TUMA) ambayo ndio inasimama hadi serikalini.
2. Clouds kuhodhi makampuni makubwa na kuminya udhamini kwa baadhi ya wasanii(mathalani Tigo walimpiga chini sugu uzinduz wa album yake ya veto mwk 2009)
3. Clouds 'kuishika masikio' serikali, mathalan kuihodhi studio waliyopewa na Rais.
4. Clouds kuwanyonya wasanii kwa kuwalipa pesa kiduchu mathalan ef 50.
Nk
ikasemwa 2010 clds walikua against sugu kwenye ubunge.

Miaka ikaenda kasi beef ikaisha sugu akasettle mjengoni. Wako wapi leo hii washirika wa vinega(akina dani msimamo, mapacha, sogy n.k). Miaka ikaenda kasi zaidi leo sugu anasimama jukwaa la fiesta. Na mambo katika industry ya bongo flava yako vile vile.

Msg.:kupambana na system si kazi rahisi na kufuata mkumbo katika beefs za watu waliokwazana ni sawa na kufuata neno la mwanasiasa.
 
Mapacha walishaingia mjengoni sema ndo hivyo mziki wao hamna anayeuelewa
Rama Dee na yeye alienda mjengoni yaliisha ila kutoboa ndo ngumu
 
Back
Top Bottom