Vinara wa jf!

Nashangaa..naona bagah analeta shemejishemeji huku mwazima taa...lol
atakula ban we mwache tu

Tatizo ulevi wako unamfanya Amyner ajifeel mpweke sasa wewe mpaka saa tisa usiku hujarudi nyumbani unategemea nini?
 
Hahahahaaaa ila wewe ni unaniponza halafu badala ya kunitetea unawahi kunipiga vijembe kwa wife wangu
 
Sasa wewe tunakuambia nenda nyumbani unasema waiter keshakuandalia chumba ulitegemea tufanye nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom