Vinara wa jf!

Excellent. theboss. mtambuzi. cantalisia. RR. tanmo. mwita25. kongosho. ongezea wengine
 
@nitonye & Erickb52, endeleeni kumwaga siri zenu, mie niko hapa nawasikiliza!...

nitonye kuwa mwangalifu na Erick manake sio mtu mzuri, anapenda kutuchonganisha.
 
Ni aghalabu kuwakosa hawa jf, nitonye, sweetlady, bagah, nyani ngabu, ashadii, firstlady, boflo, cantalisia, bishanga, walinazi(huyu kaja juzi juzi tu hapa jf lakini yumo), youngmaster, na........,

Ahaaaa kumbe sisi wengine hatujulikani! cjui nisema ni ukabila! au uchama! au u jf? endeleeni kujiweka matawi ya juu pekeyenu tu. imeniuma uchungu leo, siku imeisha vibaya
 
@nitonye & Erickb52, endeleeni kumwaga siri zenu, mie niko hapa nawasikiliza!...

nitonye kuwa mwangalifu na Erick manake sio mtu mzuri, anapenda kutuchonganisha.
Teh kumbe upoooooo!!!!
Hahahaaaa Nitty anamwaga mambo....ngoja uone moja km hujazimia sijui
 
Erick hanisumbui mimi ngoja aipate kwanza kwa Amyner
Hivi umemuona hivi punde? Jiulize mbona tulipotea wote?
Mtu mzima najua unaelewa kuwa wapendanao walikuwa na maongezi kidogo....Tunarudi muda si mrefu kuangalia majungu yenu.....
Yan najaribu kuwatafakari watoto wenu wewe na SL watakuwa WAMBEYA balaaaaaa
 
Sio wewe peke yako BAGAH,... Inv yenyewe aliniPM kunambia hivyo hivyo...tu mfano wa kuigwa kwakweli...

Tuna mapenzi ya zwati!

...sasa mwenzenu vip au ndo fimbo ya mbali?mdogo wake niko dar anipe kazi ya ulinzi nimsaidie
shem bado natamani jina lako kwa kiswahili!
 
safi...naona umeshikilia haswa nitonye hafurukuti...naomba nikunong'oneze shem..."namtaka amyner nahisi anakosa haki zake za msingi toka kwa kaka mkuu ricky"
hahahaaaaaa dogo utaumiaaaaaaa chunga kauli zako
 
Mzima Amyner,

leo sijamuona Erick kabisa is he ok?

Ahaaaa kumbe sisi wengine hatujulikani! cjui nisema ni ukabila! au uchama! au u jf? endeleeni kujiweka matawi ya juu pekeyenu tu. imeniuma uchungu leo, siku imeisha vibaya

Si ukabila wala uJF Ta Kamugisha! ndio maana sikuifunga hiyo list nikaweka hizo dot dot kuonesha nawe umo pia! na hata mwinginewe hata wewe kama kuna unaemjua muweke tu usijali mkuu...LoL!
 
Si ukabila wala uJF Ta Kamugisha! ndio maana sikuifunga hiyo list nikaweka hizo dot dot kuonesha nawe umo pia! na hata mwinginewe hata wewe kama kuna unaemjua muweke tu usijali mkuu...LoL!
Hahahahaaaaa kijana punguza wivu.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom