Vinara wa jf!

Si ukabila wala uJF Ta Kamugisha! ndio maana sikuifunga hiyo list nikaweka hizo dot dot kuonesha nawe umo pia! na hata mwinginewe hata wewe kama kuna unaemjua muweke tu usijali mkuu...LoL!

SALOK,
mwenzio unamuwakilisha na dot?
 
Mtoa mada , mimi am sure humu katika Ma'alwatan au Vinara maarufu simo.
My shabaha ningependa nikupe kumbusho kua Uzi wako ukiwasahau wamaarufu wengine hautanoga !
Itakua ni kama Pila lilikosa Kachumbari !
Nikuongezee :
- Maprosoo alleged Popobawa (huyu kuna siku akikutembelea usiku hutomsahau)
- Mtalingolo
- Nyani
- Mtambuzi
- Mwanavillage
 
...sasa mwenzenu vip au ndo fimbo ya mbali?mdogo wake niko dar anipe kazi ya ulinzi nimsaidie
shem bado natamani jina lako kwa kiswahili!
Huku nilipo haturuhusiwi kutumia majina ya kiswahili, subiri nikikuja huko ntakupa ruhusa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom