Vilio vya wahandisi walimu katika shule za ufundi Tanzania vikufikie Mama yetu Samia Suluhu Hassan

KingPower

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
1,099
1,749
Nimefurahishwa Sana na kusikia rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dr Samia Suluhu Hassan ni mtembeleaji mzuri wa jukwaa hili la Jamii forum na tunaamini atatusikia juu ya hiki kilio chetu

Sisi Wahandisi tulioajiriwa kama walimu katika shule za ufundi Tanzania ,

Bwiru boys secondary school
Mwadui secondary school
Moshi tech secondary school
Mtwara tech secondary school
Tanga tech secondary school
Iyunga tech secondary school
Ifunda tech secondary school
Musoma tech secondary school
Chato tech secondary school

Tuliajiriwa December 2020,
tunaenda Mwaka wa 3 huu kazini hatujathibitishwa, wala kupewa barua za ajira na hivyo kukosa baadhi ya stahiki za kiutumishi,

Swala letu tumelipeleka Kwa Wakurugenzi, Ma RAS mpaka katibu mkuu Tamisemi lakini hakuna majibu yeyote,

Wakurugenzi na TSC wanasema hawawezi kututhibitisha kazini kwakuwa hatuna sifa za ualimu, hadi tukasomee post graduate diploma in education.

Kwenye shule za ufundi kuna watu mfano kama laboratory technician wameajiriwa na wapo chini ya Mkurugenzi, na wamethibishwa kazini na sio walimu inakuaje Kwa Wahandisi (Engineers) ambapo Tangazo la ajira la September 7 2020 kipengele cha IV, hakikusema kwamba tukiajiriwa twende tukasome?

Lakini huku kweny halmashauri wanatudai twende tukasome tena Kwa gharama zako
Huu ni utaratibu wa wapi?

Tumejaribu kuandika barua Kwa katibu Mkuu Tamisemi tena sio moja lakini hakuna hata moja iliyojibiwa zaidi tu ya kusikia Kwa maafisa utumishi wakisema Tamisemi kuna utaratibu maalumu wanaouandaa, mwaka wa pili huu bila kuona chochote

Huku wale walimu tulioajiriwa nao, wakithibitishwa kazini na kutuzidi Kwa maana ya seniority

Tumekuwa tukipitia vipindi vigumu vya manyanyaso, msongo wa mawazo na kukosa Hali au morali ya kazi

Tunafanya majukumu ya kiualimu kama kushika zamu, kuandaa lesson plan ect bila ya mkataba wa ajira unaokuonesha majukumu ya kazi yako, au kujua kazi yako ni temporary au permanent

Ni heri ingewekwa wazi kama ajira zetu ni za mkataba Kwa maana ya temporary na wangespecify duration, ingetusaidia sana, Kwa maana Wakurugenzi wamekuwa hawapitishi barua za transfer ukipata sehemu nyingine wala hawapitishi barua za maombi ya kazi za utumishi ili twende kwenye Kada zetu tulizozisomea Kwa maana huku tulipo hawatutambui

ikikupendeza Mheshimiwa Rais tunakuomba Sana utusaidie kupata haki zetu Kwa maana ya kuthibitishwa kazini na kupatiwa barua ya ajira ili tuweze kufanya kazi Kwa Amani kwenye mioyo yeti na kuongeza weledi wa kazi

Kwani ni haki ya mtumishi akimaliza probation period ya mwaka mmoja kuthibitishwa kazini na kupewa barua ya ajira,

Naomba
Kuwasilisha
 
duh. kwanini mnafanya kazi bila mikataba? au mmerogwa? umasikini mbaya sana nendeni mkapige post graduate diploma kama hamtaki acheni kazi wizara ya elimu mkatafute ajira wizara ya ujenzi.
 
Je tayari mnazo check number na mnapokea mishahara kutoka hazina?

Na vipi kuhusu appointment letter? Ile barua ya ajira anayotaja muda wa probation mlipewa?
 
Nimefurahishwa Sana na kusikia rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dr Samia Suluhu Hassan ni mtembeleaji mzuri wa jukwaa hili la Jamii forum na tunaamini atatusikia juu ya hiki kilio chetu

Sisi Wahandisi tulioajiriwa kama walimu katika shule za ufundi Tanzania ,

Bwiru boys secondary school
Mwadui secondary school
Moshi tech secondary school
Mtwara tech secondary school
Tanga tech secondary school
Iyunga tech secondary school
Ifunda tech secondary school
Musoma tech secondary school
Chato tech secondary school

Tuliajiriwa December 2020,
tunaenda Mwaka wa 3 huu kazini hatujathibitishwa, wala kupewa barua za ajira na hivyo kukosa baadhi ya stahiki za kiutumishi,

Swala letu tumelipeleka Kwa Wakurugenzi, Ma RAS mpaka katibu mkuu Tamisemi lakini hakuna majibu yeyote,

Wakurugenzi na TSC wanasema hawawezi kututhibitisha kazini kwakuwa hatuna sifa za ualimu, hadi tukasomee post graduate diploma in education.

Kwenye shule za ufundi kuna watu mfano kama laboratory technician wameajiriwa na wapo chini ya Mkurugenzi, na wamethibishwa kazini na sio walimu inakuaje Kwa Wahandisi (Engineers) ambapo Tangazo la ajira la September 7 2020 kipengele cha IV, hakikusema kwamba tukiajiriwa twende tukasome?

Lakini huku kweny halmashauri wanatudai twende tukasome tena Kwa gharama zako
Huu ni utaratibu wa wapi?

Tumejaribu kuandika barua Kwa katibu Mkuu Tamisemi tena sio moja lakini hakuna hata moja iliyojibiwa zaidi tu ya kusikia Kwa maafisa utumishi wakisema Tamisemi kuna utaratibu maalumu wanaouandaa, mwaka wa pili huu bila kuona chochote

Huku wale walimu tulioajiriwa nao, wakithibitishwa kazini na kutuzidi Kwa maana ya seniority

Tumekuwa tukipitia vipindi vigumu vya manyanyaso, msongo wa mawazo na kukosa Hali au morali ya kazi

Tunafanya majukumu ya kiualimu kama kushika zamu, kuandaa lesson plan ect bila ya mkataba wa ajira unaokuonesha majukumu ya kazi yako, au kujua kazi yako ni temporary au permanent

Ni heri ingewekwa wazi kama ajira zetu ni za mkataba Kwa maana ya temporary na wangespecify duration, ingetusaidia sana, Kwa maana Wakurugenzi wamekuwa hawapitishi barua za transfer ukipata sehemu nyingine wala hawapitishi barua za maombi ya kazi za utumishi ili twende kwenye Kada zetu tulizozisomea Kwa maana huku tulipo hawatutambui

ikikupendeza Mheshimiwa Rais tunakuomba Sana utusaidie kupata haki zetu Kwa maana ya kuthibitishwa kazini na kupatiwa barua ya ajira ili tuweze kufanya kazi Kwa Amani kwenye mioyo yeti na kuongeza weledi wa kazi

Kwani ni haki ya mtumishi akimaliza probation period ya mwaka mmoja kuthibitishwa kazini na kupewa barua ya ajira,

Naomba
Kuwasilisha
Unafahamu Archtecture Drawing wewe?
Unafahamu welding and metal fabrication wewe?

Unafahamu fitting and turning wewe?
Unafahamu electrical installation wewe?

Unafahamu auto electric wewe?

Unafahamu motor vehicle mechanics ,

Unafundisha fani gani kati ya hizi chini ?

Electric engineering,
Mechanical engineering ,au Civil engineering

Nina maswali mengi ukijibu moja ya fani zako ndio tutaongea sasa issue za nyie wahandisi kuwa walimu ,Nitakupa uhalisia wa walimu wenzako toka pale Mbeya Technical college ikiitwa MTC na sasa Mbeya university au MUST na mfano mmoja wa mwalimu toka Arusha Technical college aliyepangiwa kufundisha Advanced Mathematics na vioja vyake
 
Nenda kasome acha taarab
 
Kama mmeambiwa mkasome post graduate,muwe waalimu full,neñdeni,mtakua mnapoteza muda tu,na kua na msongo wa mawazo.Watakua wanaajiriwa waalimu,wanaletwa happy wanapata stahki zai,nyie mnabaki vilevile.
 
Chuo kikuu huria Wana post graduate diploma ya education mahususi kwa walimo wahandishi.

Walipasawa wasome haraka sana tangu waajiriwe Hawa ni wazembe
 
Nimesoma Ifunda na Arusha Tech before joing UDSM. Huwezi graduate pale University ukaenda kufundisha Technical Schools au colleges ambaza zina more practical subjects. Utapwaya tu.
 
Nimefurahishwa Sana na kusikia rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dr Samia Suluhu Hassan ni mtembeleaji mzuri wa jukwaa hili la Jamii forum na tunaamini atatusikia juu ya hiki kilio chetu

Sisi Wahandisi tulioajiriwa kama walimu katika shule za ufundi Tanzania ,

Bwiru boys secondary school
Mwadui secondary school
Moshi tech secondary school
Mtwara tech secondary school
Tanga tech secondary school
Iyunga tech secondary school
Ifunda tech secondary school
Musoma tech secondary school
Chato tech secondary school

Tuliajiriwa December 2020,
tunaenda Mwaka wa 3 huu kazini hatujathibitishwa, wala kupewa barua za ajira na hivyo kukosa baadhi ya stahiki za kiutumishi,

Swala letu tumelipeleka Kwa Wakurugenzi, Ma RAS mpaka katibu mkuu Tamisemi lakini hakuna majibu yeyote,

Wakurugenzi na TSC wanasema hawawezi kututhibitisha kazini kwakuwa hatuna sifa za ualimu, hadi tukasomee post graduate diploma in education.

Kwenye shule za ufundi kuna watu mfano kama laboratory technician wameajiriwa na wapo chini ya Mkurugenzi, na wamethibishwa kazini na sio walimu inakuaje Kwa Wahandisi (Engineers) ambapo Tangazo la ajira la September 7 2020 kipengele cha IV, hakikusema kwamba tukiajiriwa twende tukasome?

Lakini huku kweny halmashauri wanatudai twende tukasome tena Kwa gharama zako
Huu ni utaratibu wa wapi?

Tumejaribu kuandika barua Kwa katibu Mkuu Tamisemi tena sio moja lakini hakuna hata moja iliyojibiwa zaidi tu ya kusikia Kwa maafisa utumishi wakisema Tamisemi kuna utaratibu maalumu wanaouandaa, mwaka wa pili huu bila kuona chochote

Huku wale walimu tulioajiriwa nao, wakithibitishwa kazini na kutuzidi Kwa maana ya seniority

Tumekuwa tukipitia vipindi vigumu vya manyanyaso, msongo wa mawazo na kukosa Hali au morali ya kazi

Tunafanya majukumu ya kiualimu kama kushika zamu, kuandaa lesson plan ect bila ya mkataba wa ajira unaokuonesha majukumu ya kazi yako, au kujua kazi yako ni temporary au permanent

Ni heri ingewekwa wazi kama ajira zetu ni za mkataba Kwa maana ya temporary na wangespecify duration, ingetusaidia sana, Kwa maana Wakurugenzi wamekuwa hawapitishi barua za transfer ukipata sehemu nyingine wala hawapitishi barua za maombi ya kazi za utumishi ili twende kwenye Kada zetu tulizozisomea Kwa maana huku tulipo hawatutambui

ikikupendeza Mheshimiwa Rais tunakuomba Sana utusaidie kupata haki zetu Kwa maana ya kuthibitishwa kazini na kupatiwa barua ya ajira ili tuweze kufanya kazi Kwa Amani kwenye mioyo yeti na kuongeza weledi wa kazi

Kwani ni haki ya mtumishi akimaliza probation period ya mwaka mmoja kuthibitishwa kazini na kupewa barua ya ajira,

Naomba
Kuwasilisha
acheni njooni mitaani tujiajiri
 
USHAURI:Acha kupoteza muda kwa kulalamika mitandaoni.Nenda ofisi za chuo kikuu huria,jipatie fomu ,soma ukiwa kazini.Au omba ruhusa nenda campus soma ualimu .Hakuna anayepaswa kuwa shuleni na kufanya majukumu ya mwalimu bila kuwa na sifa za ualimu.
 
Unafahamu Archtecture Drawing wewe?
Unafahamu welding and metal fabrication wewe?

Unafahamu fitting and turning wewe?
Unafahamu electrical installation wewe?

Unafahamu auto electric wewe?

Unafahamu motor vehicle mechanics ,

Unafundisha fani gani kati ya hizi chini ?

Electric engineering,
Mechanical engineering ,au Civil engineering

Nina maswali mengi ukijibu moja ya fani zako ndio tutaongea sasa issue za nyie wahandisi kuwa walimu ,Nitakupa uhalisia wa walimu wenzako toka pale Mbeya Technical college ikiitwa MTC na sasa Mbeya university au MUST na mfano mmoja wa mwalimu toka Arusha Technical college aliyepangiwa kufundisha Advanced Mathematics na vioja vyake
Mbona kama unamtisha mkuu? Mtu ameshakuambia ni muhandisi wewe unataka kumpa maswali ili iweje? Inamaana hicho cheti aliokota?
 
Back
Top Bottom