Vilabu vya EPL kukutana leo

nyano

Senior Member
Mar 8, 2013
130
123
Leo majira ya 13:30 Kwa muda wa huku kwetu, vilabu vya Ligi Kuu ya uingereza vinatarajia kufanya kikao kingne kwa njia ya video.

Huu ni mwendelezo wa vikao vngne ambavyo vimefanyika huko nyuma.

Miongoni mwa vitu vitakavyo jadiliwa ni pamoja na namna ya kuumaliza msimu wa ligi wa mwaka 2019/2020 huku timu nyingi zikitaka ligi imalizike kabla ya June 30.

Ikumbukwe zimebaki Mechi 92 kwa ujumla ili kumaliza ligi.

Hii ni ishara nzuri kwa Majogoo wa jiji Vijana wa ANFIELD, LIVERPOOL.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom