Jf Intelijensi kule kuna thread maalum vilichambuliwa vyeo vyote na majeshi yote
Amemsahau brigadier
Nadhani atakuja tena kuona kinachoendelea pamoja na kujibu maswali kadha wa kadha- @ maarifa
Ni cheo pia nimeongeza tu
Ahsante mkuu.
Nimevisoma na ntaendelea kuvisoma pia mpaka nielewe kwa kina zaidi. Vipi waweza nisaidia pia kuhusu Uhamiaji na Jeshi la Zimamoto na uokoaji??
Thanks sana
Kikosi cha zimamoto na uhamiaji ni idara tu ndani ya jeshi la polisi na vyeo vyake vinarange tokea Kamishna General wa uhamiaji/uokoaji hadi Koplo wa uhamiaji ambayo ni rank ya chini thou kwenye Zimamoto bado kuna Private kama Polisi wa kawaida!Ahsante mkuu.
Nimevisoma na ntaendelea kuvisoma pia mpaka nielewe kwa kina zaidi. Vipi waweza nisaidia pia kuhusu Uhamiaji na Jeshi la Zimamoto na uokoaji??
Thanks sana
Nani kakuambia polisi na uhamiaji na zimamoto ni majeshi?
Jeshi moja tu Jwtz hao wengine ni idara.
Kikosi cha zimamoto na uhamiaji ni idara tu ndani ya jeshi la polisi na vyeo vyake vinarange tokea Kamishna General wa uhamiaji/uokoaji hadi Koplo wa uhamiaji ambayo ni rank ya chini thou kwenye Zimamoto bado kuna Private kama Polisi wa kawaida!
wataka kuingia jesi?? wewe mkurya? kombania A ama mhehe kombania B?
ll-forces ranks Name Collar insignia General Jenerali malizia Lieutenant General Luteni Jenerali malizia Major General Meja Jenerali malizia Brigadier General Brigedia Jenerali malizia Colonel Kanali ngao na nyota 2 - kofia wekundu Lieutenant Colonel Luteni Kanali ngao na nyota moja Major Meja ngao megani Captain Kapteni nyita 3 kila bega First Lieutenant Luteni nyota mbili kila bega Second Lieutenant Luteni Usu kanyota kamoja kila bega
All-forces ranks Name Collar insignia Warant Officer Class I Afisa Mteule Daraja la Kwanza ngao mkononi Warant Officer Class II Afisa Mteule Daraja la Pili mwenge mkononi Staff Sergeant Sajinitaji V3 na mwenge wa uhuru Sergeant Sajini V 3 Corporal Koplo - V2 Lance Corporal Koplo Usu - V
Kila jeshi linajtegmea kwenye vyeo vyake, jwtz wa v moja ni lance corporal,v mbil corporal,v taut sajin,v tatu na ngao ya taifa sajinitaji.warrant officer second class na warrant officer first class wanavaa kolokolo mkonon, hawa n non commissioned officers, nyota 1 second liuetenant, wa 2 ni first liuetenant,wa tatu n captain, anakuja mwenye ngao ya taifa began n major,ngao ya taifa na nyota 1 liuetenant canal,ngao na nyota 2 canal,ngao na nyota 3 brigardier general, mkas na ngao major general,mkas ngao na nyota moja liuetenant general,ngao mkas na star 2 ni genaral.. Mwsho kabisa ni rank ya field marshal tanzania hamna amanda mwenye cheo hiki..