Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

Jf Intelijensi kule kuna thread maalum vilichambuliwa vyeo vyote na majeshi yote
 
2Q==
lans coporal
Z
coporal
220px-Australian_Army_Sergeant.svg.png

sergent ana v 3 na ngao ya bibi na bwana juu yake
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu.
Nimevisoma na ntaendelea kuvisoma pia mpaka nielewe kwa kina zaidi. Vipi waweza nisaidia pia kuhusu Uhamiaji na Jeshi la Zimamoto na uokoaji??
Thanks sana

Nani kakuambia polisi na uhamiaji na zimamoto ni majeshi?
Jeshi moja tu Jwtz hao wengine ni idara.
 
Ahsante mkuu.
Nimevisoma na ntaendelea kuvisoma pia mpaka nielewe kwa kina zaidi. Vipi waweza nisaidia pia kuhusu Uhamiaji na Jeshi la Zimamoto na uokoaji??
Thanks sana
Kikosi cha zimamoto na uhamiaji ni idara tu ndani ya jeshi la polisi na vyeo vyake vinarange tokea Kamishna General wa uhamiaji/uokoaji hadi Koplo wa uhamiaji ambayo ni rank ya chini thou kwenye Zimamoto bado kuna Private kama Polisi wa kawaida!
 
Nani kakuambia polisi na uhamiaji na zimamoto ni majeshi?
Jeshi moja tu Jwtz hao wengine ni idara.

Hapo sijakuelewa kidogo. JESHI la polisi, JESHI la magereza, JESHI la uhamiaji, JESHI la zimamoto na uokoaji tena nasikia kuna JESHI la wokovu. Why wanatumia neno JESHI WAKATI SI WANAJESHI NI WANA IDARA???
Msaada hapa jamani maana nachanganyikiwa kidogo juu ya neno JESHI.
 
Kikosi cha zimamoto na uhamiaji ni idara tu ndani ya jeshi la polisi na vyeo vyake vinarange tokea Kamishna General wa uhamiaji/uokoaji hadi Koplo wa uhamiaji ambayo ni rank ya chini thou kwenye Zimamoto bado kuna Private kama Polisi wa kawaida!

Ahsante sana kiongozi. Elimu haina mwisho hivyo nakushukuru kwa kuwa mstaarabu na hatimaye kunijibu. Naomba kama una ufafanuzi mwingine tupia coz naelewa si mimi tu ninayetatizwa bali ni wengi sana humu Jf.
 
Kila jeshi linajtegmea kwenye vyeo vyake, jwtz wa v moja ni lance corporal,v mbil corporal,v taut sajin,v tatu na ngao ya taifa sajinitaji.warrant officer second class na warrant officer first class wanavaa kolokolo mkonon, hawa n non commissioned officers, nyota 1 second liuetenant, wa 2 ni first liuetenant,wa tatu n captain, anakuja mwenye ngao ya taifa began n major,ngao ya taifa na nyota 1 liuetenant canal,ngao na nyota 2 canal,ngao na nyota 3 brigardier general, mkas na ngao major general,mkas ngao na nyota moja liuetenant general,ngao mkas na star 2 ni genaral.. Mwsho kabisa ni rank ya field marshal tanzania hamna amanda mwenye cheo hiki..
 
wataka kuingia jesi?? wewe mkurya? kombania A ama mhehe kombania B?

ll-forces ranksNameCollar insignia
GeneralJeneralimalizia
Lieutenant GeneralLuteni Jeneralimalizia
Major GeneralMeja Jeneralimalizia
Brigadier GeneralBrigedia Jeneralimalizia
ColonelKanalingao na nyota 2 - kofia wekundu
Lieutenant ColonelLuteni Kanalingao na nyota moja
MajorMejangao megani
CaptainKapteninyita 3 kila bega
First LieutenantLuteninyota mbili kila bega
Second LieutenantLuteni Usu kanyota kamoja kila bega
All-forces ranksNameCollar insignia
Warant Officer Class IAfisa Mteule Daraja la Kwanzangao mkononi
Warant Officer Class IIAfisa Mteule Daraja la Pilimwenge mkononi
Staff SergeantSajinitaji V3 na mwenge wa uhuru
SergeantSajini V 3
CorporalKoplo - V2
Lance CorporalKoplo Usu - V

Mkuu Umeipatia Si Mchezo ILA Kuna Sehemu Kama Nne Hivi Hujaweka Maelezo Yake Na Badala Yake Umetutaka Sisi Tumalizie Je Tukisema Brigedia Jenerali Ana Ngao, Nyota na Anavaa C.H.U.P.I. Kichwani badala Ya Kofia Tutakuwa Tunakosea? Muwe Basi Mnatumalizia Na Uhondo wa Taarifa Na Siyo Kutupa Nusu Nusu Kama Ulivyotuachia Sisi Tumalizie Wenyewe Hivyo Vyeo Nyeti Vinne Ulivyoviacha.
 
Kila jeshi linajtegmea kwenye vyeo vyake, jwtz wa v moja ni lance corporal,v mbil corporal,v taut sajin,v tatu na ngao ya taifa sajinitaji.warrant officer second class na warrant officer first class wanavaa kolokolo mkonon, hawa n non commissioned officers, nyota 1 second liuetenant, wa 2 ni first liuetenant,wa tatu n captain, anakuja mwenye ngao ya taifa began n major,ngao ya taifa na nyota 1 liuetenant canal,ngao na nyota 2 canal,ngao na nyota 3 brigardier general, mkas na ngao major general,mkas ngao na nyota moja liuetenant general,ngao mkas na star 2 ni genaral.. Mwsho kabisa ni rank ya field marshal tanzania hamna amanda mwenye cheo hiki..

Yupo Field Marshal Nae ni Mwigulu Nchemba!
 
Back
Top Bottom