Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,827
- 3,569
Mtaswagwa kinguvu tu! Omba Mungu apishe mbali!Siku vita ikitokea kwetu ndipo utajua kuwa watz hawaendi kupigana. Tutawaachia viongozi wakapigane.
Leo ajira zikitoka wanawapa watoto wao.
Vita ikija wanataka watoto wetu wawe frontline bila mafunzo.
Adui atashinda asubuhi.
Hakuna atakayekuwa mzalendo kwenye mauti.