Vijana waahidi kumpigia Kampeni Dkt. Tulia nyumba kwa nyumba Uchaguzi ujao

Ndugu zangu Watanzania,

Wema ni Akiba,Ni akiba isiyooza ,ni akiba ya kudumu,.Ukitenda wema Tegemea kulipwa Mema ,inaweza isiwe leo au kesho lakini fahamu ya kuwa Wema una Tabia ya kumrudia mhusika kwa njia Tofauti Tofauti,wema una desturi ya kurudi ulipotoka.

Sasa kwa Jimbo la Mbeya mjini wema umeanza kumtafuta Daktari na Nguli wa sheria Mh Tulia Acksoni mwansasu, unamtafuta kila kona ya jiji la Mbeya,Unatembea kwa magoti na kutambaa kumtafuta popote alipo ili umpate,Una haha kila mahali ,kila kijiwe,kila kilinge na kila kijiwe. Dkt Tulia amekuwa ni gumzo kwa namna anavyotafutwa na wema wake alioutenda kwa maelfu ya vijana mkoani Mbeya katika kutaka kumrudia na kumlipa wema wake alioutoa kwa upendo na huruma ya hali ya juu kwa vijana mkoani Mbeya pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile.

Vijana katika vijiwe mbalimbali na maeneo mbalimbali mkoani Mbeya wamejiapiza kumpigania ,kumkapenia na kumuombea kura Nyumba kwa nyumba katika jimbo la Mbeya mjini uchaguzi ujao.Hii ni baada ya kutendewa wema na Dr Tulia,kama vile kuwasaidia mitaji vijana iliyowasaidia kuanzisha na kufungua biashara zilizowasaidia kuondokana na utegemezi wa kipato na kuanza kujitegemea na kuinuka kiuchumi,kuwa saidia na kuwapa bure pikipiki pamoja na bajaji ambazo sasa zinawasaidia katika kujipatia fedha kila siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu,hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa jiji la Mbeya ni Eneo lenye abiria wengi sana kila kona ya jiji kunakotokana na kuchangiwa na uwepo wa shule na vyuo mbalimbali na vya ngazi Tofauti Tofauti.

Huruma na upendo huo wa Dr Tulia katika kuwainua kiuchumi umewagusa sana vijana,kwa kuwa umewaletea matumaini,Tabasamu,furaha ,nuru na faraja katika mioyo na maisha yao.wanamuona Dkt Tulia kama mkombozi wao kiuchumi. Hawapo Tayari kumsaliti au kumuangusha uchaguzi ujao,wapo Tayari kutembea nyumba kwa nyumba kwa miguu katika adhima ya kumuombea kura za ushindi ili arejee Bungeni na kuendelea kuwasaidia na kuwaletea maendeleo na kugusa maisha yao.

Wanamuona kama Dada yao wa Tumbo moja kutoka kwa mama mmoja kwa namna anavyo wasaidia bila kikomo wala ubaguzi wala masharti wala mipaka. Moyo wa Dr Tulia ni wa kipekee sana kwa kuwa Anamsaidia na amesaidia vijana wengi sana mkoani Mbeya ambao sasa Wanatamka waziwazi bila kificho kuwa hawapo Tayari kupoteza kura zao kwa kumpigia mwingine yoyote nje ya Dr Tulia ambaye Ndiye chaguo la wana Mbeya wote.

Ni funzo kwa wabunge wengine kuwa ukitaka ukumbukwe,kukubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na wapiga kura wako basi jitahidi kuacha alama katika mioyo ya wananchi wako,uwe karibu nao, kusikiliza kero zao na kuwapa majibu, kuwa mwenye huruma,upendo na unyenyekevu kwa watu wote wa rika zote na makundi yote pasipo ubaguzi, kutambua kuwa wapiga kura ndio waliokufikisha hapo ulipo Bungeni na ndio maboss wako unaopaswa kuwasikiliza na kuwatumikia. Lakini pia kuzungumza lugha za wapiga kura au wananchi wako juu ya changamoto mbalimbali zinazowasumbua na kuzitafutia majibu sehemu husika.

Siyo mtu anachaguliwa ubunge leo anaanza kujiona ana akili kuliko wananchi wote,anaanza kuwaona wapiga kura kama Takataka wasio faa hata kumsalimia kwa mikono,muda wote amepandisha vioo vya Gari lake huku akikimbia utafikiri yupo kwenye mashindano ya magari na hata kuonekana tu jimboni ni kwa nadra sana,Hasikilizi la mtu wala kushauliwa na mtu ,Hakai na wananchi wake wala kusikiliza wanasema nini juu ya jimbo lao. lakini dkt Tulia licha ya elimu yake kubwa wadhifa wake mkubwa ndani ya Bunge na ndani ya chama bado ameonekana muda mwingi na wote akiwa pamoja na wapiga kura wake kipindi chote ambapo vikao vya Bunge vinakuwa vimesimama.

Sasa kiongozi wa aina hiyo ya dkt Tulia kwanini asiungwe mkono? Kwanini asipendwe jimboni kwake? Kwanini asipitee tena uchaguzi ujao? Kwanini asipigiwe kura za kishindoo? Sasa mwingine siyo waziri wala naibu waziri wala spika wa bunge au naibu spika au mwenyekiti wa kamati yoyote ile lakini anajifanya yupo Bize muda wote na yupo nje ya jimbo muda wote Haitishi mikutano kuwapa mrejesho na kusikiliza changamoto zao wala kuwa nao karibu .sasa wa hivi nani anaweza muunga mkono au kumpigia kura? Nani anayeweza kumpigania au kumtetea popote pale? Nani anayeweza kutamani mtu wa aina hiyo arudi Bungeni Tena uchaguzi ujao?

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ana KINGA ya kuendelea kuwa SPIKA NA MBUNGE atakaye mpiga atapewa UHAINI
 
Narudia tena kusema kuwa Dkt Tulia atashinda kwa kishindo kikuu kwa kupigiwa kura nyingi sana na wana Mbeya wenye akili Timamu na wanaojitambua.Mwabukusi hata wasio jitambua hawawezi kumpa kura zao. Atapata kura ya mtu kama Mdude ambaye hajitambui wala kujielewa.
Wewe ni CHOKO kama MACHOKO mengine yanayouza MIKUNDU mitaani tu
 
Ana KINGA ya kuendelea kuwa SPIKA NA MBUNGE atakaye mpiga atapewa UHAINI
Katika jimbo la Mbeya mjini haya aje nani hawezi kumshinda Dkt Tulia katika sanduku la kura, kutokana na namna anayokubalika na kupendwa na wana Mbeya kulikotokana na uchapa kazi wake na kugusa maisha ya watu wengi mkoani Mbeya.
 
Dkt Tulia ndio Fahari ya wana Mbeya na kila mwana Mbeya anajivunia kuongozwa na Dkt Tulia na uwepo wake mkoani Mbeya ,maana kupitia mikono yake wengi wamepata matumaini na Tabasamu katika mioyo yao . Ni kupitia misaada yake wengi wametimiza na kufikia ndoto zao.
Itajulikana tu kikubwa msitafute mbeleko ya polisisiem
 
We ni najisi ya nchi unaandika vitu vya kipuuzi Sana kiwango chako Cha kufikiria ni sifuri
 
Mimi silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani,lakini pia napenda kukwambia yakuwa dkt Tulia ni mzalendo aliyetukuka na mwenye mapenzi ya dhati na Taifa letu. Ndio maana leo Dunia kupitia umoja wa mabunge Duniani unataka ufaidike na kipaji chake alichojaliwa na Mwenyezi Mungu, kwa kutaka kumpatia Urais wa Umoja wa mabunge Duniani,ambapo mpaka sasa anaungwa mkono kutoka kila kona ya Bara la Afrika.

Kupitia Dkt Tulia maelfu ya vijana,akina mama pamoja wazee wamewezeshwa sana.Mfano vijana wamekuwa wakipewa mitaji kupitia vikundi vyao nahata kijana mmoja mmoja ,kama vile kupewa pikipiki pamoja na bajaji zinazowasaidia katika kujipatia fedha za kuendeshea maisha yao ya kila siku.
Hakuna mwanasiasa mpuuzi Kama huyu Tulia. Kama siyo kubebwabebwa na figisufigisu huyu asingeweza kuwa mbuge hata kidogo. Labda uniambie ana andaa vijana kuvuruga uchaguzi lakini kama ni kwenye sanduku la kura hawezi. Nadhani wewe umetimiza wajibu wako wa kuandika maana uwezi kulipwa bure....endelea kumdanganya akuongezee dau. Hebu nikuulize....hivi wale Waarabu wa Bandari waliomuahidi kumjengea misikiti jimboni kwake wamesharudi?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wema ni Akiba,Ni akiba isiyooza ,ni akiba ya kudumu,.Ukitenda wema Tegemea kulipwa Mema ,inaweza isiwe leo au kesho lakini fahamu ya kuwa Wema una Tabia ya kumrudia mhusika kwa njia Tofauti Tofauti,wema una desturi ya kurudi ulipotoka.

Sasa kwa Jimbo la Mbeya mjini wema umeanza kumtafuta Daktari na Nguli wa sheria Mh Tulia Acksoni mwansasu, unamtafuta kila kona ya jiji la Mbeya,Unatembea kwa magoti na kutambaa kumtafuta popote alipo ili umpate,Una haha kila mahali ,kila kijiwe,kila kilinge na kila kijiwe. Dkt Tulia amekuwa ni gumzo kwa namna anavyotafutwa na wema wake alioutenda kwa maelfu ya vijana mkoani Mbeya katika kutaka kumrudia na kumlipa wema wake alioutoa kwa upendo na huruma ya hali ya juu kwa vijana mkoani Mbeya pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile.

Vijana katika vijiwe mbalimbali na maeneo mbalimbali mkoani Mbeya wamejiapiza kumpigania ,kumkapenia na kumuombea kura Nyumba kwa nyumba katika jimbo la Mbeya mjini uchaguzi ujao.Hii ni baada ya kutendewa wema na Dr Tulia,kama vile kuwasaidia mitaji vijana iliyowasaidia kuanzisha na kufungua biashara zilizowasaidia kuondokana na utegemezi wa kipato na kuanza kujitegemea na kuinuka kiuchumi,kuwa saidia na kuwapa bure pikipiki pamoja na bajaji ambazo sasa zinawasaidia katika kujipatia fedha kila siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu,hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa jiji la Mbeya ni Eneo lenye abiria wengi sana kila kona ya jiji kunakotokana na kuchangiwa na uwepo wa shule na vyuo mbalimbali na vya ngazi Tofauti Tofauti.

Huruma na upendo huo wa Dr Tulia katika kuwainua kiuchumi umewagusa sana vijana,kwa kuwa umewaletea matumaini,Tabasamu,furaha ,nuru na faraja katika mioyo na maisha yao.wanamuona Dkt Tulia kama mkombozi wao kiuchumi. Hawapo Tayari kumsaliti au kumuangusha uchaguzi ujao,wapo Tayari kutembea nyumba kwa nyumba kwa miguu katika adhima ya kumuombea kura za ushindi ili arejee Bungeni na kuendelea kuwasaidia na kuwaletea maendeleo na kugusa maisha yao.

Wanamuona kama Dada yao wa Tumbo moja kutoka kwa mama mmoja kwa namna anavyo wasaidia bila kikomo wala ubaguzi wala masharti wala mipaka. Moyo wa Dr Tulia ni wa kipekee sana kwa kuwa Anamsaidia na amesaidia vijana wengi sana mkoani Mbeya ambao sasa Wanatamka waziwazi bila kificho kuwa hawapo Tayari kupoteza kura zao kwa kumpigia mwingine yoyote nje ya Dr Tulia ambaye Ndiye chaguo la wana Mbeya wote.

Ni funzo kwa wabunge wengine kuwa ukitaka ukumbukwe,kukubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na wapiga kura wako basi jitahidi kuacha alama katika mioyo ya wananchi wako,uwe karibu nao, kusikiliza kero zao na kuwapa majibu, kuwa mwenye huruma,upendo na unyenyekevu kwa watu wote wa rika zote na makundi yote pasipo ubaguzi, kutambua kuwa wapiga kura ndio waliokufikisha hapo ulipo Bungeni na ndio maboss wako unaopaswa kuwasikiliza na kuwatumikia. Lakini pia kuzungumza lugha za wapiga kura au wananchi wako juu ya changamoto mbalimbali zinazowasumbua na kuzitafutia majibu sehemu husika.

Siyo mtu anachaguliwa ubunge leo anaanza kujiona ana akili kuliko wananchi wote,anaanza kuwaona wapiga kura kama Takataka wasio faa hata kumsalimia kwa mikono,muda wote amepandisha vioo vya Gari lake huku akikimbia utafikiri yupo kwenye mashindano ya magari na hata kuonekana tu jimboni ni kwa nadra sana,Hasikilizi la mtu wala kushauliwa na mtu ,Hakai na wananchi wake wala kusikiliza wanasema nini juu ya jimbo lao. lakini dkt Tulia licha ya elimu yake kubwa wadhifa wake mkubwa ndani ya Bunge na ndani ya chama bado ameonekana muda mwingi na wote akiwa pamoja na wapiga kura wake kipindi chote ambapo vikao vya Bunge vinakuwa vimesimama.

Sasa kiongozi wa aina hiyo ya dkt Tulia kwanini asiungwe mkono? Kwanini asipendwe jimboni kwake? Kwanini asipitee tena uchaguzi ujao? Kwanini asipigiwe kura za kishindoo? Sasa mwingine siyo waziri wala naibu waziri wala spika wa bunge au naibu spika au mwenyekiti wa kamati yoyote ile lakini anajifanya yupo Bize muda wote na yupo nje ya jimbo muda wote Haitishi mikutano kuwapa mrejesho na kusikiliza changamoto zao wala kuwa nao karibu .sasa wa hivi nani anaweza muunga mkono au kumpigia kura? Nani anayeweza kumpigania au kumtetea popote pale? Nani anayeweza kutamani mtu wa aina hiyo arudi Bungeni Tena uchaguzi ujao?

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Nini kimetokea mpaka wampigie kampeni nyumba kwa nyumba? Hawamtaki tena?

Yaani anayetetea jimbo anapigiwa kampeni ya nyumba kwa nyumba? Wewe chawa hujastuka tu?

Lucas Mbwa wa Shamba,
Kijana mpenda Uteuzi
0742 676627
 
Inakuwaje nchi ina Spika anayetafuta kuungwa mkono toka siku aliyoanza kutumikia kiti cha uspika hadi leo lakini hakuna anayemkubali? Spika aliyemwondoa Ndugai ili akae yeye unategemea atapigiwa kura na wananchi? Mbeya kwa Tulia hakuna kitu na CCM wanajua kabisa njia ya kumtoa ni kumpeleka kwenye sanduku la kura akapotelee huko
 
Nini kimetokea mpaka wampigie kampeni nyumba kwa nyumba? Hawamtaki tena?

Yaani anayetetea jimbo anapigiwa kampeni ya nyumba kwa nyumba? Wewe chawa hujastuka tu?

Lucas Mbwa wa Shamba,
Kijana mpenda Uteuzi
0742 676627
atakayemteua naye atakua mpumbavu kama yeye.
 
Dkt Tulia ndio Fahari ya wana Mbeya na kila mwana Mbeya anajivunia kuongozwa na Dkt Tulia na uwepo wake mkoani Mbeya ,maana kupitia mikono yake wengi wamepata matumaini na Tabasamu katika mioyo yao . Ni kupitia misaada yake wengi wametimiza na kufikia ndoto zao.
dr fake wanaomwamin ni wajinga na wapumbavu wenzie huko ccm.
 
Wanampigia Kampeni ili aje afanye nini ambacho hawezi kukifanya wakati huu ? Si anayo hayo madaraka ambayo anataka ayapate tena ?

Tatizo la hii nchi ni watu kama wewe badala ya kuamini taasisi na kuuliza na kuhoji kwanini vitu havifanyiki sasa mnatumia muda wenu kuwekeza kwa mtu na kusifia watu kama vile wanafanya hisani kumbe ni kazi yao ambayo hawaifanyi kwa ufasaha (wangeifanya kungekuwa hakuna watu wanabangaiza mtaani na kukosa kazi za kufanya hadi kupigia watu kampeni - muda huo wangeutumia kula bata kwa pesa walizopata kwa ajira zenye ujira.....
 
Mimi silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani,lakini pia napenda kukwambia yakuwa dkt Tulia ni mzalendo aliyetukuka na mwenye mapenzi ya dhati na Taifa letu. Ndio maana leo Dunia kupitia umoja wa mabunge Duniani unataka ufaidike na kipaji chake alichojaliwa na Mwenyezi Mungu, kwa kutaka kumpatia Urais wa Umoja wa mabunge Duniani,ambapo mpaka sasa anaungwa mkono kutoka kila kona ya Bara la Afrika.

Kupitia Dkt Tulia maelfu ya vijana,akina mama pamoja wazee wamewezeshwa sana.Mfano vijana wamekuwa wakipewa mitaji kupitia vikundi vyao nahata kijana mmoja mmoja ,kama vile kupewa pikipiki pamoja na bajaji zinazowasaidia katika kujipatia fedha za kuendeshea maisha yao ya kila siku.
Mi sio mtabiri ila ukiendelea na hii tabia utaungana na James Delicious ndani ya miaka 5 ijayo
 
Back
Top Bottom