Vijana wa Tanzania waanzisha kampeni kutaka Kikwete AJIUZULU

Uislamu wetu haubariki mauaji; naomba sana Albadiri imfuate Rais Kikwete, Said Mwema na mtu yeyote alietia mkono wake katika kuwaua raia wenzetu kule Pemba na sasa Arusha.

Kama polisi ni zaidi hapa nchini sasa tutajuana huku uraiani.

Polisi na ndugu zao wote hatutawapa ushirikiano tena huku uraiani popote pale, hatutafanya biashara yoyote na nyie na hata ukilazimisha lifti kwenye gari yangu kuna uwezekano mkubwa nikabamiza gari langu mwenyewe kwa upande uliko ili ufe sawa na raia wenzetu mliowaua kiunyama Arusha.

Tangu sasa polisi hata kama ni ndugu yangu toka nitoke tusijuane na mtoto wangu yeyote atakayejiunga na jeshi hili alaaniwe na afe mara moja hata kabla hajamaliza mafunzo hayo.
du!!
 
Mh, Kashikwa pabaya.

Kama imeingia Facebook !!!!

Bado tarehe 29 jan - maandamano ya wafanyakazi

Nyie TUCTA angalieni msije kuchakachuliwa kwa kuambiwa INTELLIJENSIA !!??
 
Good! Good sana. Nchi imemshinda huyu jamaa sijui laana inamtafuna?
 
Kabla na mimi sijaweza kumuomba ajiuzulu, Je hawa wote wanaompinga mheshimiwa Rais anapata taarifa zake?
 
Kuna page mpya ya Facebook imeanzishwa inaitwa "President Jakaya M. Kikwete MUST Resign." Less than ten days tangu ianzishwe group hiyo tayari watu 2,812 wanaunga mkono wazo hili by usiku wa Januari 14, 2011. Facebook hutumiwa zaidi na vijana, wanafunzi wa vyuo na sekondari. Huyu Rais kweli hapendwi na wananchi wake! Vijana wametoa comments za hasira sana kuhusu Kikwete.

Hebu bofya hapa chini usome comments za vijana wa Tanzania. You don't need to log in to Facebook:

http://www.facebook.com/PresidentJakayaMrishoKikweteMustResign
 
Kwenye sanduku la kura wamemshindwa sasa wanategemea ajiuzulu kwa hiari yake? Bullshit...
 
Back
Top Bottom