Vijana wa Tanzania waanzisha kampeni kutaka Kikwete AJIUZULU

Kuna page mpya ya Facebook imeanzishwa inaitwa "President Jakaya M. Kikwete MUST Resign." Less than ten days tangu ianzishwe group hiyo tayari watu 2,800+ wanaunga mkono wazo hili by usiku wa Januari 14, 2011. Facebook hutumiwa zaidi na vijana, wanafunzi wa vyuo na sekondari.

Huyu Rais kweli hapendwi na wananchi wake! Vijana wametoa comments za hasira sana kuhusu Kikwete.

President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook
ha ha ha ha ndoto za mchana hizo,,tutawarundika jela na vijana wa siku hizi walivyo mayai washazoea mkate wa kupakwa siagi chamoto watakiona tunajua wanaowatuma dawa yao ipo jikoni
 
yeah! Atasifika kwa kukuza Demokrasia na kupanua uhuru wa watu kuongea!

Alidhoofisha uchumi wa nchi kuliko rais yeyote yule na anaongoza kukumbatia mafisadi maana ndio waliomuweka..

Alikimbiliaa ikulu alidhani wanauza sura sasa anajuta....akimaliza ajiandae kukaa kizuizini na wenzake maana hana sehemu kujificha tena
 
mna
ushahidi gani au kwa sababu zipi? Tatizo la mtanzania unasema toka bila sababu. Mnataka tufate mkumbo bila sababu sio toka nasi tuseme toka bila sababu
 
mna
ushahidi gani au kwa sababu zipi? Tatizo la mtanzania unasema toka bila sababu. Mnataka tufate mkumbo bila sababu sio toka nasi tuseme toka bila sababu

Everything is going down (i mean kila kitu kinaporomoka), no direcition, nor control nor feasible plan 2 rescue the situation. From bad now at worse heading to the worst! Ushahidi gani unautaka? Unless u r okay upstairs
 
Sensibilization kwa njia ya facebook ni nzuri lakini haitoshi. Maisha maumu aliyonayo mtanzania kwa ujumla hayamruhusu kila kijana kutumia mtandao. Sambamba na hiyo tunatakiwa kubuni njia nyingine zaidi ili nguvu hii imfikie kila mtanzania alipo.
 
Vijana kila mahali tujadili mustakabali wa nchi yetu, tuwabaainishe waliotufikisha hapa yaani kwenye umaskini huu. JK hawezi kukwepa haya; atakuja kukimbia nchi. Tufuatilie kila issue ya ufisadi kwa umakini na kwa kuwa na data halisie .

Tuwajibike kila mahali.
 
Vijana kila mahali tujadili mustakabali wa nchi yetu, tuwabaainishe waliotufikisha hapa yaani kwenye umaskini huu. JK hawezi kukwepa haya; atakuja kukimbia nchi. Tufuatilie kila issue ya ufisadi kwa umakini na kwa kuwa na data halisie .

Tuwajibike kila mahali.
hongereni vijana
 
Mimi nilidhani ni hapa JF pekee ambako wengi wanamuona JK ni mpuuzi na disgrace to our country! Kumbe na kwingine watu wanaonyesha masikitiko kwa kuwa na Rais kama yeye!!!

Tiba

Tiba nionayo mimi ni kuanadamana nchi nzima na kuondoa utawala huu wa kifisadi.
 
Back
Top Bottom