Vijana wa Tanzania waanzisha kampeni kutaka Kikwete AJIUZULU

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
Kuna page mpya ya Facebook imeanzishwa inaitwa "President Jakaya M. Kikwete MUST Resign." Less than ten days tangu ianzishwe group hiyo tayari watu 2,800+ wanaunga mkono wazo hili by usiku wa Januari 14, 2011. Facebook hutumiwa zaidi na vijana, wanafunzi wa vyuo na sekondari.

Huyu Rais kweli hapendwi na wananchi wake! Vijana wametoa comments za hasira sana kuhusu Kikwete.

President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook
 
Mimi nilidhani ni hapa JF pekee ambako wengi wanamuona JK ni mpuuzi na disgrace to our country! Kumbe na kwingine watu wanaonyesha masikitiko kwa kuwa na Rais kama yeye!!!

Tiba
 
kina Gbagbo mbona wako wengi tu Africa i cannot tell any difference btn Kikwete and Bagbo...
 
Hivi kweli KIKWETE ni chaguo la Mungu au la shetani..... ?Anaamuru mauaji ya watu wasio na Hatia kwa sababu ya uchu wa madaraka, kama alikuwa anwatafutia sababu CHADEMA angetumia njia amabayo haingemwaga damu isiyo na Hatia... KIONGOZI MWENYE BUSARA HUWAJIBIKA KWA MAKOSA YAKE AU YA WATENDAJI WALIO CHINI YAKE.. KAMA UNA BUSARA MJOMBA WAJIBIKA.. JIUZULU

I like this:israel:
 
Uislamu wetu haubariki mauaji; naomba sana Albadiri imfuate Rais Kikwete, Said Mwema na mtu yeyote alietia mkono wake katika kuwaua raia wenzetu kule Pemba na sasa Arusha.

Kama polisi ni zaidi hapa nchini sasa tutajuana huku uraiani.

Polisi na ndugu zao wote hatutawapa ushirikiano tena huku uraiani popote pale, hatutafanya biashara yoyote na nyie na hata ukilazimisha lifti kwenye gari yangu kuna uwezekano mkubwa nikabamiza gari langu mwenyewe kwa upande uliko ili ufe sawa na raia wenzetu mliowaua kiunyama Arusha.

Tangu sasa polisi hata kama ni ndugu yangu toka nitoke tusijuane na mtoto wangu yeyote atakayejiunga na jeshi hili alaaniwe na afe mara moja hata kabla hajamaliza mafunzo hayo.
 
Mimi nadhani honestly Kikwete iliishamshinda period anapelekeshwa na hao mafisadi:shetani::shetani:
 
hadi fb hawamtaki mh hafai hivi ni nani aliyemchagua huyu si ana maruhani nguvu za giza
 
Kikwete is still celebrating the new year. I don't believe if he has gone back to office, as all the news concerning him since end of Dec is on parties parties parties ...............
 
ya+bwatta.jpg
Juakali-Chunya.jpg
Wanafunzi+wa+shule+moja+ya+msingi+Zanzibar+28+Oktoba+2008.JPG
1.bmp
makalala.2.jpg
DSC01238.jpg
 
Kikwete is still celebrating the new year. I don't believe if he has gone back to office, as all the news concerning him since end of Dec is on parties parties parties ...............
Aaah wapi, huko huko holiday kwake anaisoma namba kimya kimya... Memuona lini ile kazidi kukonda tu na kuzeeka... anadhania mchezo eeeh!
 
Hizi picha za wanafunzi zinanipa huzuni sana halafu ukizingatia hela zipo ila jamaa wanakula aaah! Wabunge pia wanastahili kuulizwa wamewasaidiaje wananchi wao?

-6 kajenga ofisi mil 500 jimboni zingetosha kabisa kujenga hata jengo tu wakakaa humo.
-Mkulo kapanda ndege kaagiza shangingi from dar kwenye mahafali ya IRDP, mil kadhaa zimeenda hapo
-Dowans kampuni feki inatakiwa bil 90+, wanafunzi wangepata na chai ya asubuhi bureee.
-Huko tanroads kwa kusitisha mikataba kienyeji kuna mamilioni yanatakiwa.
-List goes on and on, kinachosikitisha wafanyayo haya ni watanzania wenzetu.
 
Uislamu wetu haubariki mauaji; naomba sana Albadiri imfuate Rais Kikwete, Said Mwema na mtu yeyote alietia mkono wake katika kuwaua raia wenzetu kule Pemba na sasa Arusha.

Kama polisi ni zaidi hapa nchini sasa tutajuana huku uraiani.

Polisi na ndugu zao wote hatutawapa ushirikiano tena huku uraiani popote pale, hatutafanya biashara yoyote na nyie na hata ukilazimisha lifti kwenye gari yangu kuna uwezekano mkubwa nikabamiza gari langu mwenyewe kwa upande uliko ili ufe sawa na raia wenzetu mliowaua kiunyama Arusha.

Tangu sasa polisi hata kama ni ndugu yangu toka nitoke tusijuane na mtoto wangu yeyote atakayejiunga na jeshi hili alaaniwe na afe mara moja hata kabla hajamaliza mafunzo hayo

Naunga mkono hoja. Wahamie huko huko kwa akina Chatanda. Wanatoka kutupiga na kutuua, mabwana zao walowatuma wanasahau kuwapa hela za kununua chumvi. Aiseeee Mangi, usikopeshe polisi anapokuja kwenye kioski chako, cash cash tuuu.
 
Back
Top Bottom