Vijana wa Arusha na ubwiaji wa NGISUGI...!

Vijana wa Ar wamewafanyia nin kibaya? Kutwa kucha ni thread za kuwaponda vijana wa Ar. Swala la vijana kula ugoro siyo Ar tu ni karibu miji yote mikubwa. Mfano huku Dar watu wanakula ugoro hata wenye heshima zao, ukienda Zenj ndo usiseme. Ugoro ni habari ya mujin kwa sasa. Ukimuona mmasai anakindoo kidogo maarufu kama sado ujue anauza ugoro. Nafikiri wengi walianza kutumia baada ya kuber kupigwa marufuku. Bora anaye tumia ugoro kuliko anayevuta sigara maana anajidhuru mwenyewe. Lakin anayetumia sigara anavutisha na wengine wasio vuta.
 
Samahani jamani naombeni kidogo kujua zaidi juu ya ugoro, maana nausikia tu na kuona watu wakivuta zaidi nilikuwa nafahamu ni kama bangi tu, au una tofauti na bangi?? kwakweli nilikua najua ugoro ni kama bangi tu, niwekeni sawa plz.
 
Jamani tuachieni wanaume wetu tafadhali!!ni nini mbaya mpaka mnawaandama kila siku????wanawachukuliavwanawake zenu au??sie wenyewe tunawakubali,nyie endeleeni kupaka poda tu.

Kila siku humu ndani ni Wachaga na watu wa Arusha hatutoki midomoni mwenu!wacheni chuki zisizokuwa na msingi.
 
sio chuki wanapenda dezo dezo sana
 
9.jpg

Niko mitaa Tabata Ubaya Ubaya na washkaji wa A Town....
Kinachoendelea katika eneo hili ni nyama choma na bia, lakini hawa masharobaro wa A Town nawaona wakipena kitu kilichofungwa kwenye nailoni kwa umahiri. Awali nilidhani ni ile kitu maarufu kwa jina la CHA ARUSHA, lakini nimeshangaa wanabwia na kisha kutema mate...

Nimeshikwa na udadisi na nilipouliza wakaniambia hiyo kitu inaitwa NGISUGI au UGORO.

Yaani wanaubwia kama hawana akili nzuri, na wameniambia hiyo kitu nimaarufu sana huko A TOWN....

Mimi nilijua hii kitu inatumiwa na wazee tu na vibibi vizee, kumbe hata vijana...!

Ngusugi ndio inavyoitwa
 
Kipenda roho hula nyama mbichi.
 
mm nilivyokua advance school A town chumban nlikua naskia washkaji wanasema oya nipe "zagaa" mwanzo sikua naelewa nikitu gani daah kumbe ulikua niugoroo washkaj walikua wanaita zagaa
 
nimekuwa nafanya kazi na wafanya kazi wezangu wa arusha kwenye kampuni ya mpawa wenyewe wako karibu asilimia 95% katika kampuni karibu asilimia 80 wanakula ugoro vijana ambao ni chini ya miaka 23 nilishangazwa na hili jambo sana yani meno ya mbele yashabadilika rangi kabisa,hamfai hata kuigwa mnakuja kazin mmelewa mnatia aibu yani wanatema mate kama adi kinyaa

Wanaotematema Mate Siyo Wazoefu. Imenipa Tafu Sana Form Five Na Six Nikapata Div One Kali. Chuo Nako Nimeitumia Sana Kuforce Nondo Kwenye Kozi Ngumu Nikatoka Na GPA Ya 2nd Class (upper). Nimekuja Kuicha Nilpoanza Kazi Na Kukaa Na Mke. Inastimulate Thinking Capacity. Ila Usijaribu Kama Una Kichwa Kibovu.
 
mara ya kwanza kuiweka mdomoni kwanza nilitapika sio kidogo.....moyo ulikwenda mbio sana na mwili ukaisha nguvu ghafla...ila cha ajabu nilivoamua kuiweka tena nikashangaa kuona vitu vingi nakua fasta sana kuvifikiria na kuvifanya....niliiogopa na kuiacha baada ya kuona inavyozungusha damu spidi na inavyoleta njaa fasta....na pia sasa nimeokoka bwana....NAPAKUMBUKA SANA ARUSHA.....SANA SANA
 
Mtambuzi huo ni ugonjwa mwingine kwa vijana, wasiwasi mkubwa ni namna unavyotayarishwa, Na hata unavyopimwa...
 
Last edited by a moderator:
Mbona hungei hao wa bwia sembe huko kwenu acha upifimbi ww kubwa zima badala ya kuleta thread ya maana unakuja na mboyomboyo zako ole wako tukujue
 
o level kuna mchizi alini convice nigonge kitu cha babu a.k.a ngusu ile nimeweka kwenye mdomo wa chini sikujua kama mate ninayatema acha niyameze yan hapo hapo tumbo la kuharisha likaanza fasta nikazama toi ile siku yote ilibidi nihamie toi mazima asee
 
Umetisha Mkuu, pole.
 
Back
Top Bottom