Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

Mpiga drum wa elton John ndan ya Uk sera za chadema utaziwezea wapi,nenda ukouko nyinyiem uendelee kupaka mapouuda...
 
Kwanza kabisa nakubaliana na mambo kadhaa uliyoyasema, na mojawapo ni kwamba chadema ina wenyewe na siyo shamba la bibi kama ilivyo ccm. Kwa ufupi, chadema siyo mali ya watanzania bali ina wamiliki wachache ambao wanautumia utanzania kufikia malengo yao ya kisiasa.

Lakini pia sikubaliani na wewe kwamba eti hukuyatambua hayo yote mpaka ulipoingia ndani ya chadema ndiyo "ukagundua". Huo ni uwongo mtupu. Wewe ulikuwa unajua kwamba chadema ina wenyewe isipokuwa ulijidanganya kwamba unaweza ukapenya penya na wewe ukawa miongoni mwa "wenyewe" wa chadema. Baada ya kubaini kwamba utabakia kuwa "outsider" no matter what; ndiyo unataka kujifanya kwamba eti ndiyo kwanza umegundua.

Hawa watu kama mr2 sugu, yule wa singida, na hata huyu rwakatare....; hawa wataendelea kuwa wanachadema ili mradi tuu wanaitambua mipaka yao. Siku yoyote watakaposema...."nadhani nimekomaa vya kutosha kuwa mwenyekiti wa chadema, au mgombea urais kwa tiketi ya chadema"; basi siku hiyo na wao pia ndipo watakagundua kwamba wao siyo miongoni mwa wamiliki wa chama; na wao pia watakuja hapa JF au sehemu yoyote na kujifanya kwamba ndiyo kwanza wamegundua kwamba chadema ina wenyewe.

John Shibuda alitaka kutunisha misuli yake ndani ya chadema, wenye chama wakamwambia...."dogo, hili siyo shamba la bibi"... basi Shibuda akapiga kelele sanasana kana kwamba alikuwa hajui utawala wa chadema unavyofanya kazi.

Kama uliingia chadema na kisha ukaondoka wewe kaa kimya tuu, lakini usitake kutufanya sisi mapimbi. Tunajua kwa nini uliingia chadema na pia kwanini umeondoka chadema.
 
unafikiri kwa akili ama? cdm tutaiunga mkono mpaka Yesu arudi mara ya pili.iwe kwa shari ama heri.
 
Huyu ni opportunist, alidhani atapandishwa vyeo haraka haraka alipokuwa polisi,hakujua ccm ina wenyewe?

Na polisis bila cheo na rushwa hufanyi lolote.

Kwa kuendeleza uoportunist,akakimbilia UK kubeba box.Akataka apate priveledges ambazo ccm wenyewe huwa wanapeana aka michongo,yani akataka awe anapewa madili.(Kwa kutumia kampuni aliyoanzisha ya clearing and forwarding kama sijakosea).

Hilo liliposhindwa kutokea,akaamua kujiunga chadema ili apate umaarufu na labda asikilizwe na ccm ambapo kiukweli ndiyo target yake.Sema yeye ni sisimizi tu na ccm ina wenyewe.Hata huu ----- unaosomwa humu ni kwasababu ya umaarufu alioupata kwa mgongo wa chadema kuwahadaa wananchi wapenda mabadiliko kuwa ni mwenzao!

Ameamuwa kurudi kinyumenyume tena upande wa ccm akitegemea atafanyiwa wema huko anakorudi kinyumenyume.Na hadi usawa huu naona bado anabembelezea tu huku akijisugulisha kama paka mwenye hedhi.

Jaribuni kuangalia kama kweli alijunga chadema kwasababu ya kuwakomboa wananchi kutoka udhalimu,ufukara na magonjwa.

Alijiunga kwasababu zake binafsi ili apate tenda.Alijiunga na polisi ili apate cheo na kupewa rushwa kubwa kubwa.Kwasababu ulaji wa polisi inategemea na cheo chako.

Nakumbuka threads na picha kibao akibandika humu kujisifia kwa kutumia id ya chilisosi,akituma baiskeli mbili tatu,basi mipicha kibaoo!Kumbe ni promo tu!

Na hivi karibuni naona sasa ameamuwa kusafiria nyota ya Lemutuz AKA @NY.
 
Hapo kwenye Red ni moja tu ya sababu zilizonifanya nihame.
Ina maana hizo nafasi ni kwa ajili ya watu fulani tu?
 
Chris Lukosi,

Taingia uondoke Chadema Uingereza hakuna tena Chadema wamebaki wale jamaa wa kaskazini tu tena hawazidi hata watano.
 
Last edited by a moderator:
Chadema Kaskazini ndiyo wamiliki wa chama wote waliobakia ni mateka tu wa Chadema.

Ukitaka kujipima kama wewe Chadema jaribu kugombea nafasi za juu ndani ya chama kama mwenyekiti au katibu.

Ndani ya Chadema ni marufuku kumpinga Mbowe au Dr Slaa ukimpinga tu unaitwa masalia na unafukuzwa chama.
 
Huyu ni opportunist, alidhani atapandishwa vyeo haraka haraka alipokuwa polisi,hakujua ccm ina wenyewe?

Na polisis bila cheo na rushwa hufanyi lolote.

Kwa kuendeleza uoportunist,akakimbilia UK kubeba box.Akataka apate priveledges ambazo ccm wenyewe huwa wanapeana aka michongo,yani akataka awe anapewa madili.(Kwa kutumia kampuni aliyoanzisha ya clearing and forwarding kama sijakosea).

Hilo liliposhindwa kutokea,akaamua kujiunga chadema ili apate umaarufu na labda asikilizwe na ccm ambapo kiukweli ndiyo target yake.Sema yeye ni sisimizi tu na ccm ina wenyewe.Hata huu ----- unaosomwa humu ni kwasababu ya umaarufu alioupata kwa mgongo wa chadema kuwahadaa wananchi wapenda mabadiliko kuwa ni mwenzao!

Ameamuwa kurudi kinyumenyume tena upande wa ccm akitegemea atafanyiwa wema huko anakorudi kinyumenyume.Na hadi usawa huu naona bado anabembelezea tu huku akijisugulisha kama paka mwenye hedhi.

Jaribuni kuangalia kama kweli alijunga chadema kwasababu ya kuwakomboa wananchi kutoka udhalimu,ufukara na magonjwa.

Alijiunga kwasababu zake binafsi ili apate tenda.Alijiunga na polisi ili apate cheo na kupewa rushwa kubwa kubwa.Kwasababu ulaji wa polisi inategemea na cheo chako.

Nakumbuka threads na picha kibao akibandika humu kujisifia kwa kutumia id ya chilisosi,akituma baiskeli mbili tatu,basi mipicha kibaoo!Kumbe ni promo tu!

Na hivi karibuni naona sasa ameamuwa kusafiria nyota ya Lemutuz AKA @NY.
Boss sina shida ya cheo
Mie nina mapenzi na nchi yangu, kama ni polisi niliacha nikiwa mdogo sana at 23yrs nilikuwa sajenti na mkuu wa traffic police wilaya ya nkansi sasa sijui unazuma nini wewe. Na huko Chadema nimeacha nikiwa mwenyekiti na biashara zangu hazihusiani na siasa kwani wateja wangu ni kutoka vyama vyote bila kujali itikadi zao.
Tatizo ni kila mchaga kujiona yeye ni mwenyekiti wa taifa, hata mburura tu atataka kukuingilia madaraka
 
Chris Lukosi,

Taingia uondoke Chadema Uingereza hakuna tena Chadema wamebaki wale jamaa wa kaskazini tu tena hawazidi hata watano.
Mkuu nmi kweli kabisa

Waliobaki ni wachache ambao kwa namna moja ama nyingine wana maslahi ya moja kwa moja na kule kishumundu.

Wengi walioniuliza sababu za kuhama nilipowaeleza walichana kadi zao na kurudi ccm.

Tunasubiri uongozi wa CCM hapa UK watangaze mkutano halafu utaona tsunami la vijana wakirudi nyumbani.

Hebu angalia uongozi uliokuwepo wakati nikiwa mwenyekiti na sasa kama utaona hata sura moja.
Watu wameshtuka, na wamejitambua.

Chadema ni kama ngoma ya mdundiko tu ambayo watu kama akina Ben Saanane wamejikuta katikati wakifuata midundo bila kujua wanaelekea wapi
 
Uzuri wa chadema ni kwamba Zito Kabwe yuko kule. Na Zito Kabwe ni mwanachadema halisi, tena chadema damu kwelikweli. Zitto ndiyo mchadema pekee ambaye ameingia chadema kwa mujibu wa itikadi, na pasipo kuingizwa na "wazee wa chama". Kwa mfano, Mbowe ameingia chadema kwa sababu Mtei ni familia yake na chama ni mali yao. Slaa ameingizwa chadema na Mbowe na mbowe ndiyo anayelipa mshahara wake. John Mnyika ameingizwa chadema kuandaliwa kukamata chama baadaye. Lema yeye hastahili hata kujadiliwa hapa.

Lakini wamiliki na baadhi ya washabiki wa chadema wanatamani kusingekuwepo na Zitto Duniani. Kigumu zaidi kwao ni kwamba Zitto ni intelligent kuliko chadema wote; na ndiyo maana wanamuogopa na wanamchukia. Kama chadema kuna siku kitakuja kuongoza nchi, basi kitakuwa chini ya uongozi wa Zitto. Na kama chadema itakuja kufa kabisa na kufutika kwenye siasa, pia itakuwa kwa sababu ya Zitto.

Sasa wao wanadhania wanaweza kumuweka Zitto kwenye "periphery" za chama, aonekane tuu lakini asisikike; na kutegemea kwamba wanaweza kutumia kuwepo kwa Zitto kujifanya kwamba wao ni chama cha kitaifa. Mimi binafsi sijuani na Zitto, lakini kwa intelligency aliyonayo m-kigoma yule; nina hakika kashaliona hilo na anajua anafanya nini.
 
Dah Lukos banaa sijui vijanaa pale UK wanakuchukuliaje!!? Au mkuu ramani pale zimegoma umepigwa mkwara na "wazee" maana hizi siyo akili zako kabisaaa hata Mungu anaona moyoni mwako!! By the way Pole sana mkuu kwa yaliyokupata na kupelekea yote haya..
 
Kuna uzi umeanzishwa hapa ukihoji sababu za mie kujiunga na chadema na baada ya muda mfupi kurudi nyumbani CCM.

Ndugu zanguni, kufanya kosa ni kawaida lakini kuendelea kulifanya hilo kosa ndio tatizo. Mimi Nilijiunga na Chadema nikitegemea kuwa ndio njia pekee ya kujiunga na harakati za kujenga nchi yetu Tanzania, lakini madudu niliyoyakuta huko ndio yalinifanya nitoke nduki.

Hizo post zote wanazotumia kuhoji maamuzi yangu nilizitundika mie mwenyewe na nakiri kuwa katika makosa niliyowahi kuyafanya duniani, Kujiunga na chadema lilikuwa kosa kubwa kabisa katika maisha yangu na sitolisahau maishani.

Mimi kujiunga chadema nilikuwa nimepotea na bila kujijua nikajikuta katikati ya maandamano yasiyo na kibali. Lakini niliyashtukia makosa hayo na kuamua kurudi nyumbani. Kutenda kosa ni kawaida kwa mwanadamu lakini kuendelea kulitenda hilo kosa hata baada ya kujua umetenda kosa ni kosa kubwa.

Mimi kujiunga na chadema ilikuwa hakuna tofauti na mtu aliecheza ule mchezo unaoitwa kapesa kekundu au karata tatu. Niliingia huko nikiwa na hope ya kuungana na watu wanaotaka kuleta mabadiliko nchini na nilitumia muda wangu mwingi kuzunguka UK nzima kukijenga chama. Muda wote huu nikiwa UK nilikuwa bado sijakijua chama vizuri mpaka pale nilipofika Nyumbani na kukutana na viongozi wa juu kabisa.

Nikagundua Chadema ni tofauti kabisa na nilivyodhani.

Chadema ni chama kinachomilikiwa na watu wachache na si chama cha wananchi kama mnavyodhani. Hakuna kamanda yeyote anayeweza kuukosoa uongozi hata pale itakapoonekana wazi kuwa wamekosea. Ukiwakosoa utaitwa msaliti/masalia na kufukuzwa. Hili liliniogopesha sana na nikajiuliza ikiwa hawa watu leo hatuwezi kuwahoji pale wanapokumbwa na kashfa kama za matumizi ya hela za ruzuku kupeana vyeo nk wakiwa bado hawajashika dola , jee tutaweza kuwahoji wakiwa wameshika Dola?

Nawasikitikia vijana wenzangu ambao bado wako chadema kwani wako kwenye basi lenye madereva watatu ambao hawaelewani, wameacha kuendesha basi na sasa wanavutana kuhusu nani aendeshe hilo basi mwaka 2015, Dereva mmoja ni kijana na mwingine ni mtu mzima akisaidiwa kwa ukaribu na mwenye basi. Kuna huyu dereva mwingine kutoka singida yeye bado hajaonyesha nia lakini najua muda wowote na yeye atasema anataka kuendesha na hapo ndio tutasikia mengi sana na once again watakuwa very bize hapa JF kutoa matamko na bila kusahau matusi mazito mazito kwa yeyote atakaenyosha nia.

Chadema sio chama kamili cha kisiasa kama vile wengi wanavyodhani, chadema ni mkusanyiko wa wapiga deals wanaotegemea siku wakiingia ikulu wafanye kweli,

Nina uhakika vijana wengi wakijitambua wataiga mfano wangu na kurudi nyumbani CCM tulijenge taifa. Mabadiliko ya kweli na maendeleo ya kweli yatatoka ndani ya CCM. Kama kweli unataka mabadiliko na maendeleo ya kweli basi rudi nyumbani ufanye hivyo.

Vijana msikubali kutumiwa kwa kufanywa chambo cha vurugu na maandamano yasiyo na vibali kuwapatia umaarufu watu wachache ambao ninakuhakikishieni, siku wakipata wakitakacho watawaona kama walevi tu

Mfano mzuri ni yule muandishi wa habari wa mjengwa (sio LUDO ) aliepanda basi kwenda Dar kuhudhuria harambee iliyofanyika serena hotel, kijana alitumia akiba yake yote kwenda dar baada ya kualikwa na lema kupitia mimi. Kijana alipofika nje ya hotel Lema alimfuata nje na kuchukua ule mchango lakini hakumruhusu kuingia ndani, Kijana alikaa nje mpaka saa saba usiku bila mafanikio kuingia ndani kisa alkikuwa hafanani na waliokuwemo ndani na alikuwa akionekana kamanda mchovu tu. Mmie ilibidi nimtumie nauli yule kijana na kumlipia hotel arudi Iringa. Mpaka leo kijana hajui hata kama mchango wake ulifika au la na alisikitika sana jambo ambalo ni moja tu ya mambo yaliyonifanya niwashtukie chadema kuwa they are just deal makers.

Chadema wanapenda kutumia matukioa ya majanga kama mtaji wa kisiasa na nina uhakika nchi ikiwa kimya bila matukio mabaya uongozi wa chadema huwa bored sana.

Nawatakia Pasaka njema

Mkuu Lukosi, heshima yako mkuu.

Sasa nimesoma hio mada yako na nimechagua maswali matatu makuu kwako.

Naomba unifafanulie hizo sehemu tatu nilizotia wino mwekundu.

1. Unasema kuna madudu ambao uliyakuta huko baada tu ya kujiunga na chama hiki. Je ni madudu gani hao?

2. Hao wapiga ma-deals ni akina nani na ujaribu kutoa mfano wa deals ambazo zilikufanya uwe alerted.

3. Unasema Chadema wanapenda kutumia majanga kama mtaji wa kisiasa kwenye kufanikisha malengo yao. Je unaweza kuainisha ili utufahamishe tuelewe?

Nimeuliza maswali hayo matatu kwanza na mengine yatafuata kwahio ujiandae kujibu ukiwa sasa ni mwanachama wa CCM tawi la London.

Ahsante.
 
Mkuu Lukosi, heshima yako mkuu.

Sasa nimesoma hio mada yako na nimechagua maswali matatu makuu kwako.

Naomba unifafanulie hizo sehemu tatu nilizotia wino mwekundu.

1. Unasema kuna madudu ambao uliyakuta huko baada tu a kujiunga na chama hiki. Je ni madudu gani hao?

2. Hao wapiga ma-deals ni akina nani na ujaribu kutoa mfano wa deals ambazo zilikufanya uwe alerted.

3. Unasema Chadema wanapenda kutumia majanga kama mtaji wa kisiasa kwene kufanikisha malengo yao. Je unaweza kuainisha ili utufahamishe tuelewe?

Nimeuliza maswali hayo matatu kwanza na maengine yatafuata kwahio ujiandae kujibu ukiwa sasa ni mwanachama wa CCM tawi la London.

Ahsante.

Hatajibu hata moja hapo!!
 
Boss sina shida ya cheo
Mie nina mapenzi na nchi yangu, kama ni polisi niliacha nikiwa mdogo sana at 23yrs nilikuwa sajenti na mkuu wa traffic police wilaya ya nkansi sasa sijui unazuma nini wewe. Na huko Chadema nimeacha nikiwa mwenyekiti na biashara zangu hazihusiani na siasa kwani wateja wangu ni kutoka vyama vyote bila kujali itikadi zao.
Tatizo ni kila mchaga kujiona yeye ni mwenyekiti wa taifa, hata mburura tu atataka kukuingilia madaraka
Acha unafiki wewe,umeingia kwenye siasa kibishara zaidi.

Halafu unasema "mie nina mapenzi na nchi,kama ni polisi uliacha ukiwa mdogo",kwahiyo unasingizia umri uzalendo unapokushinda?

Unaonekana ni mtu usiyekuwa na msimamo,opportunist...

Na hayo malengo yako binafsi yaloyokufanya ukarudi ccm tunasubiri tuone kama hizi kukurukakara zitakusaidia upewe tender
 
Kuna uzi umeanzishwa hapa ukihoji sababu za mie kujiunga na chadema na baada ya muda mfupi kurudi nyumbani CCM.

Ndugu zanguni, kufanya kosa ni kawaida lakini kuendelea kulifanya hilo kosa ndio tatizo. Mimi Nilijiunga na Chadema nikitegemea kuwa ndio njia pekee ya kujiunga na harakati za kujenga nchi yetu Tanzania, lakini madudu niliyoyakuta huko ndio yalinifanya nitoke nduki.

Hizo post zote wanazotumia kuhoji maamuzi yangu nilizitundika mie mwenyewe na nakiri kuwa katika makosa niliyowahi kuyafanya duniani, Kujiunga na chadema lilikuwa kosa kubwa kabisa katika maisha yangu na sitolisahau maishani.

Mimi kujiunga chadema nilikuwa nimepotea na bila kujijua nikajikuta katikati ya maandamano yasiyo na kibali. Lakini niliyashtukia makosa hayo na kuamua kurudi nyumbani. Kutenda kosa ni kawaida kwa mwanadamu lakini kuendelea kulitenda hilo kosa hata baada ya kujua umetenda kosa ni kosa kubwa.

Mimi kujiunga na chadema ilikuwa hakuna tofauti na mtu aliecheza ule mchezo unaoitwa kapesa kekundu au karata tatu. Niliingia huko nikiwa na hope ya kuungana na watu wanaotaka kuleta mabadiliko nchini na nilitumia muda wangu mwingi kuzunguka UK nzima kukijenga chama. Muda wote huu nikiwa UK nilikuwa bado sijakijua chama vizuri mpaka pale nilipofika Nyumbani na kukutana na viongozi wa juu kabisa.

Nikagundua Chadema ni tofauti kabisa na nilivyodhani.

Chadema ni chama kinachomilikiwa na watu wachache na si chama cha wananchi kama mnavyodhani. Hakuna kamanda yeyote anayeweza kuukosoa uongozi hata pale itakapoonekana wazi kuwa wamekosea. Ukiwakosoa utaitwa msaliti/masalia na kufukuzwa. Hili liliniogopesha sana na nikajiuliza ikiwa hawa watu leo hatuwezi kuwahoji pale wanapokumbwa na kashfa kama za matumizi ya hela za ruzuku kupeana vyeo nk wakiwa bado hawajashika dola , jee tutaweza kuwahoji wakiwa wameshika Dola?

Nawasikitikia vijana wenzangu ambao bado wako chadema kwani wako kwenye basi lenye madereva watatu ambao hawaelewani, wameacha kuendesha basi na sasa wanavutana kuhusu nani aendeshe hilo basi mwaka 2015, Dereva mmoja ni kijana na mwingine ni mtu mzima akisaidiwa kwa ukaribu na mwenye basi. Kuna huyu dereva mwingine kutoka singida yeye bado hajaonyesha nia lakini najua muda wowote na yeye atasema anataka kuendesha na hapo ndio tutasikia mengi sana na once again watakuwa very bize hapa JF kutoa matamko na bila kusahau matusi mazito mazito kwa yeyote atakaenyosha nia.

Chadema sio chama kamili cha kisiasa kama vile wengi wanavyodhani, chadema ni mkusanyiko wa wapiga deals wanaotegemea siku wakiingia ikulu wafanye kweli,

Nina uhakika vijana wengi wakijitambua wataiga mfano wangu na kurudi nyumbani CCM tulijenge taifa. Mabadiliko ya kweli na maendeleo ya kweli yatatoka ndani ya CCM. Kama kweli unataka mabadiliko na maendeleo ya kweli basi rudi nyumbani ufanye hivyo.

Vijana msikubali kutumiwa kwa kufanywa chambo cha vurugu na maandamano yasiyo na vibali kuwapatia umaarufu watu wachache ambao ninakuhakikishieni, siku wakipata wakitakacho watawaona kama walevi tu

Mfano mzuri ni yule muandishi wa habari wa mjengwa (sio LUDO ) aliepanda basi kwenda Dar kuhudhuria harambee iliyofanyika serena hotel, kijana alitumia akiba yake yote kwenda dar baada ya kualikwa na lema kupitia mimi. Kijana alipofika nje ya hotel Lema alimfuata nje na kuchukua ule mchango lakini hakumruhusu kuingia ndani, Kijana alikaa nje mpaka saa saba usiku bila mafanikio kuingia ndani kisa alkikuwa hafanani na waliokuwemo ndani na alikuwa akionekana kamanda mchovu tu. Mmie ilibidi nimtumie nauli yule kijana na kumlipia hotel arudi Iringa. Mpaka leo kijana hajui hata kama mchango wake ulifika au la na alisikitika sana jambo ambalo ni moja tu ya mambo yaliyonifanya niwashtukie chadema kuwa they are just deal makers.

Chadema wanapenda kutumia matukioa ya majanga kama mtaji wa kisiasa na nina uhakika nchi ikiwa kimya bila matukio mabaya uongozi wa chadema huwa bored sana.

Nawatakia Pasaka njema
:target:HAPO KWENYE RED NENDA KAJARIBU KUWAHOJI/KUWAKOSOA WENYE CCM KAMA JK NA WENZAKE NDO UTAJUA VIZURI WALIKO WAKINA MAREMU Horesi Kolimba, Amina Chifupa N.K na pia kwa kuwakosoa viongozi wakuu wa Ccm na serikali yake kaulize kilichowapa kina DR. Ulimboka na mwenzie Kibanda bila kumsahau Kubenea wala bila kusahau kilinachowapata watumishi mbalimbali wa umma pamoja na watu binafsi wanapojalibu kuukosoa uongozi wa juu wa ccm.

Acha mawazo yako ya kizaman et nilifanya makosa makubwa! kaa huko na magamba wenzio na endelea kujikomba kama kada mwenzio wa mbeya ambae anajikomba na kulazimisha eti uwanja wa ndege wa mbeya uitwe jakaya kikwete international airport wakati mapendekezo ya wilaya karibu zote wamependekeza uwanja uitangaze mbeya kwa jina la Mbeya international airport.

KWA TAARIFA YAKO VIJANA WALIOWENGI WA TZ KWA SASA WANAJICKIA HATA KICHEFUCHEFU CHA KUTAPIKA UNAPOJARIBU KUWAAMASISHA JUU YA CCM LICHAMA LISILO NA HATA CHEMBE YA HURUMA KWA WANANCHI AMBALO LINANUKA RUSHWA NA UFISADI (kawa alivyowahi sema baba wa Taifa Nyerere kuwa ccm imeoza INANUKA RUSHWA.)

Acha niishie hapa UCJE NISABABISHIA MAMBO MENGINE HAPA BURE..
 
Back
Top Bottom