Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
vigogo wanne wa BOT wametinga kortini (mahakama ya wilaya ya ilala) kwa wizi wa bilioni 104 pamoja na kuchapisha noti nyingi bila ya kufuata utaratibu kwenye mikataba ya uchapishaji wa noti hizo. watu hao ni Bosco, ally, kisimo
haya jamani yale aliyoahidi JK ndio yanaanza kuonekana na kutekelezeka au ni kuwafurahisha wananchi na kuwafumba macho kwa ajili ya kuelekea uchaguzi 2010?
soma magazeti ya leo
wakuu hii hatua ni ya kupongeza ..lakini bado..kwani zaidi ya hiyo rushwa ya mradi wa bilioni 100...ya uagizaji wa sarafu...bado tena juzi imetokea wizi wa bilioni 100 kwenye mfumo wa malipo wa pesa toka TANESCO na TTCL kwenda BOT...