Vigogo wengine kutimkia chadema

Sasa huyu Lowasa mtamuhoji kuhusu tuhuma zake za ufisadi mkiwa mahakamani ama kwenye ofisi za chama?
 
Wana haki na uhuru wa kuchagua ni wapi wawatumikie watz kwani sera za zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM zimechusha na hazina mashiko kwa watz wa leo. Si wote ni wachafu huko CCM.
 
cdm msijisahau kuwa ufisadi wa ccm ndo umewapa atamu asasa wa lowasa. Hivyo basi chukueni wote ila co wa2 walio 2pa oja(mafsad) na 2kafka apa 2lipo. ata ao watakuja kutoka ccm wawekeni bench wakae kma wanachama wakawaid
 
Tuwe makini sana na hawa magamba wanaokimbilia kwetu, wasije wakawa mamluki

Uko sawa mkuu, ila CDM imejifunza mengi kutokana na wanachama aina ya Shibuda, vigezo na masharti vitazingatiwa waache waje tu.
 
Sasa huyu Lowasa mtamuhoji kuhusu tuhuma zake za ufisadi mkiwa mahakamani ama kwenye ofisi za chama?

Wamhoji kwenye vyombo vya habari, maana LOWASA alisema kwenye NEC iliyopita kwamba RICHMOND/DOWANS anaijua vema Rais, kwahiyo akifafanua ukweli na kuweka hadharani yale aliyoyaficha MWAKYEMBE, basi CHADEMA wampokee tu maana watanzania watakuwa wamejua nani fisadi katik ya JK na EL.
 
Nawaonea huruma sana wanaCCM, kwa sababu kila nikijaribu kuangalia ni jinsi gani watapona, sioni njia yoyote. THE PARTY IS TERMINALLY ILL.
 
CDM itengeneze wanachama halisi walio kwenye chama siku nyingi ndio waje kushika nyadhifa muhimu,wahamiaji wabaki kuwa wanachama hadi hapo watakapoielewa vizuri cdm 2015 hatuhitaji safi ya viraka,wapo wana cdm amakini wengi waadilifu,hop viongozi wa cdm mtakuwa makini kutamnguliza maslahi ya taifa na siyo ya chama
 
Back
Top Bottom