Vigogo wengine kutimkia chadema

Ole Milya ndo kiongozi wa mtandao wa Lowasa kanda ya Arusha yote. Sasa kama ameipiga chini ujue lazima aondoke na theluthi yake. Safi sana imenikumbusha jinsi shetani alicyokokota theluthi ya malaika alipoasi mbinguni

Dah!! Broda hapo penye nyekundu pananipa taaabu kidogo kumpokea huyu kijana.
 
Tuwachukue hao vijana wa Magamba kwa taadhari sana isje kuwa matatizo kwan waweza kuwa mapandikizi katika chama

Karibu Millya hili nitakalosema hapa wale wote wanao taka kuja CHADEMA ni kama mlango wa Polisi daima haufungwi unakaribishwa ikiingia ndani unakutana na ubao mkubwa umeandikwa PEOPLES POWER once you mess up Utausoma ubao kwa nguvu
 
walete walete hao...kwanza kijana mwenye akili timamu hawezi kuwa CHICHIEMU ata kidogo, labda mwenye njaa zake tuuu
 
Wengi wape!

Bila shaka ni wakati mwingine wa CDM kutayarisha card mpya kwa sababu ya hawa wanachama wapya wapatao idadi tajwa hapo juu!

Chadema Chadema Chadema!!!! * 2

Peoples is power,peoples is powerrrrrrrrr!!!!

Bila shaka siku nyingi tulikuwa tunaitambua ujio wenu!
Na mengi tutaongea baada ya kurudisha kwenu card ya magamba!
 
But gold glitters, isn't it?
Kwenye msafara wa Mamba...kenge nao wamo!!! Na haitaingia akilini km magamba wa CCM watapokewa kwa shangwe na kupatiwa nyadhifa kwa kuwaengua makada asilia wa cdm kwa lengo la kupata umaarufu wa mpito! not all defectors are good asset! some are poisonous decoy for the unclean bigwig! time will soon tell.
 
mwanzo wa ngoma ni kuelekea lele, ccm wanayo safari ndefu ya kupumzika, vijana wote ambao wazazi hawana madaraka yoyote ndni ya ccm wanawasindikiza wenzao kuwa wakubwa baadaye, mwanzo ndio huu wawaachie hao mapema wasije anguka nacho maana mshindo utakuwa mkubwa na hatapata kutokea ccm tena ndani ya ardhi ya Tanzania labda wajiheshimu otherwise, god bless all of usto be the witness of the coming thunderstorm.
 
rose mwalusambya wa CUF ...KITUKO

anasema my profession is a politician .... and my daily bread is coming as a contractor .... duh kachemsha kabisa .... amejitoa kwenye uchaguzi

alizani hii nilelemama ya sawaa
 
Back
Top Bottom