1.Lambert
2.Ramsden
3.Tom Duncan
4.Galileo Galilei
5.Newton
6.Prof Lipumba
7.Rev Mtikila
8.Plato
9.Dr Livingstone
10.Aristotle
Wana JF,
Kwa kuwa historia ya nchi yetu huwa haindikwi vizuri, mimi ninaomba nisaidiwe kufahamu vigogo wa CCM waliowahi kutimukia upinzani tangu tuanze mfumo wa vyama vingi 1992 na baada ya mambo kuwa magumu wakarudi tena CCM. Je hao vigogo walikuwa wanasimamia msingi ipi? au walikuwa ni Political opportunist. Haya ni mambo muhimu sana ya kutafakari, kwani kutokana hali inavyo kwenda ndani ya CCM huenda CDM 2015 ikapata mafuriko ya "WAKIMBIZI wa kisiasa" kutoka CCM.
- Steven Wassira (NCCR)
- John John Guninita (CDM)
- Abass Mtemvu (NCCR)
- Adam Malima (NRA)
- Samuel Sitta (CCJ)
- Nape Nnawiye (CCJ)
- Dan Makanga (UDP)
- Dr. Amani Warid Kaborou (CDM)
- Dr. Masumbuko Lamwai (NCCR)
- Chief Abdallah Fundikira (UMD)
- Tambwe Hiza (CUF)
- Ibrahimu Msabah (CUF)
- Nalaila Jidawi (CUF)
- Dr. Ngunangwa (NCCR)
- Makongoro Nyerere (NCCR)
- Gulamhussein Kifu (NCCR)
- Daniel Nsanzugwako (NCCR)
- Sambweee Shitambala (CDM
- Deo Lwekama (TLP)
- Thomas Ngawaiya (TLP)
- Anna Senkoro (TPP Maendeleo)
- Prince Bagenda (NCCR)
- Dr. Festus Limbu (NCCR)
- Amani Nzugule Jidulamabambansi (UDP/RIP)
- Thomas Nyimbo
- Frank Magoba (CUF)
- Evodius mmanda
- Thadeus Mtembei
- Justine Salakana (CDM)
- Kilimbah
- Shaibu Ally Akwilombe (CUF)
- Njelu Mlagala Kasaka (CUF)
- Fatuma Maghimbi (CUF)
- Clement Mabina
Pale pekundu nimepapenda, nakuona ni kama mtabiri mashuhuri usiyevuma lakini umo! Ulitabiri mwaka 2012 na utabiri umetimia mwaka 2015, hongera sana Mkuu.
John John Guninita aliwahi kuwa mwenyekiti wa UVCCM kisha akahamia CDM na sasa ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar.
Pale pekundu nimepapenda, nakuona ni kama mtabiri mashuhuri usiyevuma lakini umo! Ulitabiri mwaka 2012 na utabiri umetimia mwaka 2015, hongera sana Mkuu.