Mbona kila mara ukisikia jnina la Wassira unapatwa na kiwewe!Wasira! ...huyu tunaye mfahamu... si huyu aliye seme kama angerudi CCM angemfanya nini mama yaak? huyu ni mtu asiye jua nini anafanya...ni mtu mwenye akili pungufu anaye weza kusema wasira nafaa kuwa rais wa nchi hii!... tuacheni utani wa kipuuzi kwenye mambo ya msingi
Kulikoni?
Tulia dawa ikuingie, Tunataka mtu kama Wassira nchi hii inaelekea kukosa viongozi wa kusimamia mambo kwa kuthubutu!