Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

Wasira! ...huyu tunaye mfahamu... si huyu aliye seme kama angerudi CCM angemfanya nini mama yaak? huyu ni mtu asiye jua nini anafanya...ni mtu mwenye akili pungufu anaye weza kusema wasira nafaa kuwa rais wa nchi hii!... tuacheni utani wa kipuuzi kwenye mambo ya msingi
Mbona kila mara ukisikia jnina la Wassira unapatwa na kiwewe!
Kulikoni?
Tulia dawa ikuingie, Tunataka mtu kama Wassira nchi hii inaelekea kukosa viongozi wa kusimamia mambo kwa kuthubutu!
 
Unafahamu maana ya poor of the poorer?
Wassira ndiye Waziri anayesimamia TASAF Idara ya serikali inashughulika na Maskini nchi nzima.
Ndiye Waziri anayesimamia TUME YA MIPANGO Tume yenye takwimu sahihi.

Nakutahadharisha usikurupuke.

Fantastic, what is poor of the poorer?
 
Mbona kila mara ukisikia jnina la Wassira unapatwa na kiwewe!
Kulikoni?
Tulia dawa ikuingie, Tunataka mtu kama Wassira nchi hii inaelekea kukosa viongozi wa kusimamia mambo kwa kuthubutu!

sawa, naomba unijibu kama wasira ni mtu wa kutekreza ahadi zake! je aliisha tekereza ahadi yake ya kurudi CCM na ku......mama yake. basi kama hakutekereza ahadi afai kuwa rais wetu....katika watu wasionipotezeamuda katika maisha yangu ni huyu bwana asiye jitambua kabisa...siku zote namchulia kama kituko fuklani hivi!
 
Sifa zote alizotaja wasira , naona ni za DR Slaa "3. Awe mwadilifu asiye na makandokando na awe na uwezo wa kusimamia maadili ambayo kwa kiasi fulani yamelegalega"

goo, Dr Slaa
 
Ingawa ameacha sifa za msingi, sifa alizotaja kwa upande wa ccm hakuna hata mmoja angekuwepo angekuwa kisha yaona hayo na kuyafanyia kazi. mwenye sifa hizo na zingine alizoziacha ni Dr Slaa wa Chadema
 
sawa, naomba unijibu kama wasira ni mtu wa kutekreza ahadi zake! je aliisha tekereza ahadi yake ya kurudi CCM na ku......mama yake. basi kama hakutekereza ahadi afai kuwa rais wetu....katika watu wasionipotezeamuda katika maisha yangu ni huyu bwana asiye jitambua kabisa...siku zote namchulia kama kituko fuklani hivi!

Tembelea hii website ya Mhe. uone alichokifanya jimboni kwake na upate kujua vyema.
www.stephenwasira.co.tz
 
..maskini TZ kibao!,je uko vijijini 80% waliko ardhi yao imepimwa?.kama wanaishi kijamaa!basi umaskini ni 80%
 
sifa ya 8: Mchawi wa mgombea awe na uwezo kuwapita wote by 2015 ..............!!

Maana nasikia washaanza kupigana vikumbo kwa waganga!! MaCCM bwana ............ kazi tunayo!!
 
Unafahamu maana ya poor of the poorer?
Wassira ndiye Waziri anayesimamia TASAF Idara ya serikali inashughulika na Maskini nchi nzima.
Ndiye Waziri anayesimamia TUME YA MIPANGO Tume yenye takwimu sahihi.

Nakutahadharisha usikurupuke.

Kusimamia TASAF siyo kigezo cha kuwa na data sahihi za umaskini nchini
 
Steven Wassira ameweka wazi kuwa mtu mwenye na uadilifu wa kweli wa kuiongoza TZ kwa kipindi cha 2015-2020 ni Dr Slaa.

Amesema Raisi ajaye lazima awe Mwadilifu, anayejua umasikini wa watanzania, yupo tayari kuwatafutia vijana ajira na kuwajengea mazingira ya kujiajiri.

Mzalendo wa kweli na anayejua matatizo halisi ya Tanzania. Asiye mchafu wala mwenye tuhuma za wizi , ubadhirifu matumizi mabaya ya ofisi ya umma au fisadi papa.

Wassira anaungana na watanzania walio wengi kuwa na matumaini makubwa na Dr W P Slaa. 2015cdm magogoni.
 
Wana-CCM wengine ni vyema wakaiga tabia hii ya ukomavu aliyoionyesha Wassira.
 
Back
Top Bottom