Vigezo vitakavyotumika Kumuengua mgombea wa Igunga hivi hapa!

CCM ndio wazee wa foul plays lakini CDM ina team ya wanasheria waliobobea watacome out hata kama mitego hiyo imeandaliwa maana CCM wao ni kutegemea zaidi utawala, tuliona Mwanza walitangazana na Mk we re kuwa Lau ni Mbunge mwisho wa siku wakaangukia pua! The same will apply in Igunga
 
Kipengele cha kwanza hakiwezekani. Kwa mujibu wa waraka wa mkuu wa utumishi wa umma Na 1 wa mwaka 2000 (6.3.4.1 (b), mtumishi hahitaji kuomba ruhusa wala kupata kibali anapoenda kugombea ubunge au ngazi yeyote. Isipokuwa, kwa mujibu wa waraka huu, utumishi wa mtumishi unakoma mara moja pale ambapo Tume ya Uchaguzi itakapomtangaza kuwa ni mgombea na/au itakapomtangaza kuwa mbunge. Hili Bwana Kashindye analijua na amejiandaa ilivyo. Kumbukeni kuwa Kashindye amekuwa mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka 30, miaka 20 akiwa katika nafasi ya ukaguzi wa elimu. Ni mtu makini anayeelewa taratibu za utumishi ilivyo.

Hicho cha pili ndio makidamakida zaidi kwa sababu anayethibitisha kwamba fulani ni kiongozi wa chama cha siasa ni katibu mkuu wa chama husika na si vinginevyo. Ni umbumbumbu tu wa siasa za vyama vingi ndio unaowasumbua CCM.
 
chama kina wanasheria walobobea na sasa kina lengo la kuchukua dola hivyo usittegemee kifanye uzembe wa kipuuzi wa enzi za kina shitambala wakati hakijawa na lengo hilo. ccm ni kama fisi wanaonyemelea nyuma ya mwanadamu wakisubili adondoshe mikono yake inayojitupa mbele na nyuma akidhani imelegea. Igunga ndiyo itakayowaandaa kisakolojia kung'atuka madalakani
 
Asante Kitila Mkumbo,walau pressure imeshuka,but msipuuze hayo yaliyotajwa they must hv plan B,kwenye kura hawawezi kushinda hata wao wanajua.
 
Nilishawaambia toka ile thread yake ya kwanza mnahangaika na TISS wanaocheza na akili za watu kumbukeni wa 16 alivyoingia na aina ya uandishi mwenye ile post ya wa 16 anaweza kuileta na kulinganisha ninayosema. Kumbukeni ukitaka kumjua mtu angalia rafiki zake angalieni watu wanaosupport kina Ze Marcopolo wanajulikana milengo yao toka zamani.
 
Hakuna maajabu yatakayo ifanya CCM kushinda uchaguzi igunga,kwa sababu zilizo wazi kabisa vinginevyo watu wa Igunga watakuwa hawajitambui. Mkapa ndio mtu wakufungua kampeni kweli CCM kime kosa mikakati ya ushindi RA ni mtu wakusimama jukwani na kusikilizwa na wananchi ama kweli sikio lakufa halisikii dawa.Mkapa amekosa wa shauri kabisa kuku bali kuuza kichwa cha magamba sehemu ambayo ubunge una rudiwa kwa tuhuma za ufisadi, huko nikukosa elimu ya majira ya nyakati......

Huyu mleta maada ni usalama wa CCM yupo kazini ana soma upepo una elekea wapi hana hoja ya msingi ana bahatisha bahatisha tu ilimnadi a fanikiwe kusoma upepo ......
 
Uwezo wa Mzee Mkapa kisiasa na uzoefu si wa kupuuza,Mgombea si tishio sana,dawa Mkapa aanze tena kubanwa kuhusu tuhuma zake,ziwepo kelele nyingi ili wananchi wasimuamini.tuhuma zake humfanya awe mpole!
 
Hata mimi sijamwelewa. Ameandika kaacha kazi ndani ya masaa 24, ambayo kwa taraibu za kazi inakubalika lakini pia kaandika kaomba likizo ya bila malipo na tayari ana barua ya likizo hiyo. which is which
Nilivyomuelewa ni kuwa mwl hyo aliandika barua ya kuacha kazi lakini haikuwa precossed hivyo ni kama alitupiwa taulo kupewa likizo isiyo na malipo ambwyo kwa mujibu wa mtoa mada kuna magumashi ndani yake.
 
Mwalimu kala mlungula! Anatafuta sababu atutoe udenda tu jimbo liende. Yawezekana mleta maada ndo Mwalimu huyo huyo.

I'm just thinking anyway!:thinking: :thinking: :thinking:
 
Naamini CDM ni chama makini sana.Hayo mazingira kama kweli yapo bila shaka watayaepuka.Asante pia kwa kutujuza!!
 
Back
Top Bottom