Vigezo vitakavyotumika Kumuengua mgombea wa Igunga hivi hapa!

je document zilizomuhalalisha zipo na zipo valid hadi sasa?Kila ilivyo, wanasheria wazipuuze hata chembe ya factor yoyote inayoweza kutumiwa kumkwamisha mgombea, otherwise muda hautatosha kujitetea mahakamani kama ilivyokuwa kwa Wenje kule Mwanza, uchaguzi ule ulikuwa wa miezi mitatu lakini huu utakuwa wa wiki tatu tu, mahakama ikimaliza kusikiliza rufaa kabla haijatoa uamuzi uchaguzi utakuwa umekwisha, ngoma itabidi ije ianze upya! Mgombea wa cdm wasifu wake asiyajuwe kweli hayo.? Wametumwa waratibu kule kwa hiyo jimbo moja macho yako pale ufanyike upuuziiiii kama huwo patachimbika waraiiiii
 
Ndio tufauti ya chadema na CCM , sie chadema tunaomba nyie CCM mnatengeneza huo ushindi...
Nguvu ya umma haitengenezwi.... vipi umeshawatengenezea huo mkakati hao magamba? mtaiba kura ngapi? malori mangapi na vituo hewa vingapi? TUNAKUJA IGUNGU KULINDA KULA kwa nguvu ya umma ulizia Mwanza, Ubungo na Kawe wanakuambia hao wenzio wanamkakati

Sijui kama Mzee Mwanakijiji anastahili shutuma zote hizi' me nadhani alicholenga ni kueleza wanamageuzi wote kuwa kupata uongozi si lelemama,ni kujitoa na kupambana kwa kila hali ili kuleta ushindi.
 
ameandika barua ya kuacha kazi ndani ya masaa 24 kwahiyo hatakuwa mtumishi wa serikali tena
 
Wakuu' haya yanaweza kuwa na ukweli au yasiwe na ukweli wowote lakini hii ni tahadhari kubwa sana.ccm wanaweza wakakubishia hata kabila lako! Inamaana mmesahau yaliyomkuta Wenje' hapa swala siyo kusema eti taratibu zilifuatwa hapa ni kupambana,kama kwenye malaria hata kama una neti usiache kuua mazalia ya mbu!
 
hizo mbini za kitoto itakula kwao hata wafanyeje mviua utazuia kwa mwavuli na umande je?
 
Hilo lisikusumbue. CCM haiwezi kutaka mgombea wa CUF au CHADEMA atoke kwenye race kwa sababu uwepo wao ni fursa zaidi kwa CCM. Actually CCM inataka kuwe na wagombea zaidi wa upinzani.
CCM ina kura zake fixed na inahitaji kudig kidogo kwa undecided voters ili ishinde. Tatizo ni kwamba undecided huwa wanalearn upinzani without specific party affiliation, kwahiyo kadri wapinzani wanavyoongezeka ndio ushindi wa CCM percentage wise unavyozidi kunona.

Katika uchaguzi huu CCM itatumia taaluma za siasa na uchaguzi. Planning ya ufunguzi wa kampeni inaonyesha jinsi uchaguzi huu utakavyokuwa sophisticated. Kama Mkapa aliweza kumuweka sawa Seif Shariff Hamad, hawezi kushindwa kuwaweka sawa ring leaders wa Igunga.

Nadhani unajidanganya, hudanganyi sisi.
 
ameandika barua ya kuacha kazi ndani ya masaa 24 kwahiyo hatakuwa mtumishi wa serikali tena

Hata mimi sijamwelewa. Ameandika kaacha kazi ndani ya masaa 24, ambayo kwa taraibu za kazi inakubalika lakini pia kaandika kaomba likizo ya bila malipo na tayari ana barua ya likizo hiyo. which is which
 
Kuna mtu aliwahi kuwepo hapa jamvini, kwa jina lake alifahamika kama wa 16, mtu yule alifanikiwa kutulaghai na habari zake, kumbe yule jamaa alikuwa TISS, Sasa wewe Mgunga Miba SIKU ZOTE umekuwa wapi kuishauri CHADEMA? Kwa Taarifa yako hapa jamvini kuna watu wa kila aina na wenye mapenzi mema na taifa hili.

Kwa jinsi akili yako ilivyo hakika ni ya ajabu sana, tunajua hizo propaganda zako, tunaelewa hako kamchezo kako, ni jinsi gani unavyojaribu kucheza na psychological za watu.

Lengo lako ni kutaka kuwakatisha tamaa wana CHADEMA hapa Igunga, tumeshakuelewa na tunasema endelea uwenda utafanikiwa.

Tunajua ungependa CCM ishinde na ndiyo rai yako na hii inatokana na jinsi unavyonufaika na CCM hiyo.


 
hapa bongo lazima tujiulize kwa nini cdm na sio cuf? na jingine kwa nini huyu RA aliachia ngazi na kuombwa na mkuu wa kaya akasaidie uchaguzi?
na je kwa nini ccm wanachanganya serikali na shughuli za chama?

tukishapata majibu ndio tutajua nani atakalia hicho kiti..

fikiria chukua hatua usikurupuke kwenye maamuzi..
 
Haya sasa si madogo; well siasa ni mikakati; we have said it others have said it before. Huwezi kuombea ushindi kwenye siasa, unautengeneza.
<br />
<br />
Ni kweli kabisa chonde chonde CDM tusipuuze haya madai yatatucost jaman
 
its all about ujanja wa kupata na dno siasa
ni sawa na dr kafumu ambaye sasa hivi ni mtumishi wa umma
simply unaweza chukua likizo isiyo na malipo na ukaendelea na mambo yake easily
mambo yakigoma unarudi kuwajibika
kama nimekosea tafadhali nisahihishwe kwa manufaa ya wengi
 
Siasa ni mkakati, na lengo la mkakati ni ushindi. Mapungufu uliyoyataja kama ni ya kweli, ni ya CDM na yanaonyesha CDM igunga imekurupuka bila mkakati. Sio kila kitu kulia lia eti CCM au magamba bali ni kutumia sheria na wanasheria wa CDM kuweka mambo sawa kwa kufuata kanuni na taratibu za kisheria
 
Kama CDM wamemuacha huyo mwalimu na mshahara wake kiduchu aache kazi masaa 24, watakuwa hawako fair kabisa. Katibu Slaa kabla hajakubali kurisk shavu lake la ubunge aliclose deal ya kuhakikisha mshahara wake unabaki intact. Viongozi ni mifano, kwa nini mwalimu huyo asishauriwe kufuata mfano wa katibu wa chama taifa?

Pili: Iwapo CDM inashindwa kusimamia ujazaji wa form ya kugombea ubunge ipasavyo, basi hakuna shaka kuwa chama hicho hakiwezi kuongoza nchi. Huwezi kushindwa kujaza form ya ubunge halafu unapanda majukwaani kuomba ruhusa ya kusimamia mikataba ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom