Yaani mnajidili mada ya udini iliyoletwa na mdini. Jina lake tu linaonyesha jinsi gani alivyoweka dini yake mbele kushinda kitu kingine chochote hata Utanzania wake (usshangae mtu kama huyu akajiona yeye ni mzalendo kuliko watanzania wengine wote). Ni wazi mtu kama huyu hawezi kujisikia comfortable anapoona majina yasiyoshabihiana na dini yake popote pale kwani kwake yeye dini ni IDENTITY na sio FAITH hivyo badala ya kufuatilia mafunzo ya dini yake yanayomfunza kuishi vyema na "wengine" kwake yeye DINI ni muudno mbinu wa kufanikisha ushindani wake dhidi ya hao anaoamini kuwa ni "wengine".
Ndio Tanzania ya usasa hiyo.....
WanaJF naomba mnisadie ni vigezo gani vinatumika katika uteuzi huu