Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 711
- 6,187
Wadau!!!
Nimesikia ya kwamba mtu binafsi au kikundi cha watu, hapa nazungumzia labda taasisi, inaweza kuingia ubia na Shirika la Nyumba la Taifa ili kujenga kama ni nyumba za kuishi, apartments, malls, magorofa ya biashara n.k,
Je wadau wanaolifahamu hili kwa undani au wadau mliopo NHC, hadi mtu binafsi au taasisi inafaulu kufanya partnership na shirika je ni vigezo vipi vinatumika ? Na je baada ya project kumalizika kisheria bila kumnyonya kimaslahi mwingine, mgawanyo wa PROFIT, mapato, n.k, inakuwaje?
Natanguliza shukrani.