Vigezo gani vinahitajika kujiunga A-level Kenya?

My Mud

Senior Member
Oct 5, 2012
108
17
Hi every body!
Naomba ufafanuzi hapa, ukitaka kwenda kusoma Kenya kwa level ya advance secondary ni sharti uwe na level ipi ya elimu ya hapa Tanzania? na ukisoma advance ya Kenya unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tanzania na kupata mkopo? Thank you.
 
ukisoma nje ya nchi sahau kupata mkopo,,, kenya Hakuna A level ,,,,pia ukisoma O level Tanzania ukienda Kenya unainzia form Three,,,,,, ukisoma secondary Kenya ukija Tz unaingia chuo kikuu
 
Kenya hakuna A Level, ukimaliza O Level(wao wanaziita HIGH SCHOOL) unaruka Chuo Kikuu mazima. Muundo wao wa elimu ni 8-4-4
Japo sasa hivi wapo mbioni kuadopt mfumo wa 2-6-6-3 yaani miwili elimu ya awali, sita msingi, sita sekondari (3junior sec na 3 senior sec) halafu 3 elimu ya juu.
cc6322d206817e74a7321192fb9e40dc.jpg
 
ukisoma nje ya nchi sahau kupata mkopo,,, kenya Hakuna A level ,,,,pia ukisoma O level Tanzania ukienda Kenya unainzia form Three,,,,,, ukisoma secondary Kenya ukija Tz unaingia chuo kikuu

nashukuru sana
 
Back
Top Bottom