Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kuna jamaa yangu mmoja kakutana na jamaa anasajili line maalumu za halotel but huwezi kupiga wala kupokea simu. Hiyo ni ya internet tu.

Week gb 4 kwa 5000

Mwezi gb 18 kwa 15,000

Mwezi gb 38 kwa 30,000
Hizi zipo za Aina mbili. Ni wewe Tu unachagua. Kuna hiyo ya data Tu na kuna ya kawaida yaani unayoweza chagua data pekee au mchanganyiko .

Ukifika halotel shop wanakuunganisha.

Mim nilisajir Kwa 5k
IMG_20240308_121408.jpg
 
#HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na matumizi ya makosa ya kimtandao limewakamata Claudian Makaranga (28) mkazi Kawe na Hongliang Yang (35) Mchina, mkazi wa Kigamboni, kwa tuhuma za kuingiza vifaa vya mawasiliano ya intaneti nchini bila kufuata utaratibu wa kisheria vyenye jina la STARLINK KIT/DEVICE.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum SACP Jumanne Muliro anasema Watuhumiwa hao wamekuwa wakijitangaza kuuza vifaa na kutoa huduma ya internet nchini kupitia mtandao ya kijamii wa Instagram kwa akaunti yenye jina la STARLINK.

Baadhi ya vifaa vilivyoingizwa nchini imebanika vilishauzwa na kutumika katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kitendo ambacho ni kosa na kinyume na sheria kwani havijaidhinishwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

#EastAfricaTV

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
 
🤣 mkuu namimi ndo nilikua nakuja kutoa hii taarifa muda huu
 
APPLE iPHONE 6 PLUS 220,000

BRAND NEW & CLEAN FROM CANADA

SPECIFICATIONS

Battery Health - 100%
Fingerprint Sensor - Working

RAM - 1GB
ROM/Internal - 64GB
Screen Size - 5.5 inches
Operating System - iOS
Color - Gold
Display Type - IPS LCD
Resolution - 1080 x 1920
SIM - Nano SIM
Main Camera - 8MP f/2.2
Selfie Camera - 2MP f/2.2
Battery - 3000
Bluetooth - 4.0
USB 2.0 & NFC

0783060577
Haina kasoro yoyote kwa 220,000 tu
 
Huyu jamaa apo mwisho mbona kama kaharibu kwa kuthibitisha kuwa kweli amekwenda kinyume cha mkataba, kwa kuwa ukisoma kwenye Sheria na Masharti aliyoyakubali ni kwamba huruhusiwi kuhama eneo na hiyo Router bila taarifa wala kutumia hiyo Router kwenye eneo lisilo na 5g, na ikiwa utatumia Airtel inaweza kusitisha huduma.

IMG_3124.png

Au mimi Kiingereza sijui kusoma kwa kiwango cha wanasheria wake?

Huwezi kwenda Mahakamani na kusema matangazo yao yalisema hivi wakati unaambiwa usome kwa makini mkataba na usipende kusikiliza marketing au sales department; hawa watu wataongea chochote ili ununue bidhaa zao na maneo yao si "legally binding" hayana mashiko kisheria.

Anyway kila la kheri kwake. Mimi hii Router nilighairi kuichukua kwa kuwa ninajua figisu za Airtel Tanzania.
 
Huyu jamaa apo mwisho mbona kama kaharibu kwa kuthibitisha kuwa kweli amekwenda kinyume cha mkataba, kwa kuwa ukisoma kwenye Sheria na Masharti aliyoyakubali ni kwamba huruhusiwi Kahama eneo na hiyo Router bila taarifa wala kutumia hiyo Router kwenye eneo lisilo na 5g. Na ikiwa utatumia Airtel inaweza kusitisha huduma.

View attachment 2945563

Au mimi Kiingereza sijui kusoma kwa kiwango cha wanasheria wake. Huwezi kwenda Mahakamani na kusema matangazo yao yalisema hivi wakati unaambiwa usome kwa makini mkataba na usipende kusikiliza marketing au sales department; hawa watu wataongea chochote ili ununue bidhaa zao.

Anyway kila la kheri kwake. Mimi hii Router nilighairi kuichukua kwa kuwa ninajua figisu za Airtel Tanzania.
Duh! Kumbe Airtel ni magumashi. Naona wanapiga promo router zao za 5g na balozi wa ni Diamond platnumz(nilisikia kawakamua hela nyingi Airtel). Je ni za kuaminika? Gharama ya kununua router ni bei gani? Je kwa mwezi bei gani? Kama nilipo 5g inashika na kuachia, je router inashuka kuwa 4g/3g au ndio inazima mtandao?
 
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.

Airtel SME.
View attachment 2741119

Tigo postpaid
View attachment 2741120

Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho.

Kama huna details hapo juu wapo mawakala wanaunga bila Tin no, kwenye huu uzi wapo pia, ila kuwa makini na matapeli.

Update
Kwa wanaojiweza vipo pia vifurushi vya Unlimited vya 5G kwa sasa vinapatikana Airtel na Vodacom kwa urahisi.

Vodacom
-kasi internet inaanzia 50,000 kwa mwezi, unatumia around GB 20 speed inashuka ila inabaki unlimited. Sio kifurushi kibaya kama umekosa internet nyengine.

-Supakasi hii inaanzia 115,000 ni unlimited. Sema inahitaji tin no na leseni

Airtel
Wana unlimited kama Vodacom ila hii inaanzia 70,000 kwa mwezi na instalation fee ni 200,000 malipo ya mara moja, uzuri wa hii mtu yoyote anaungwa sio lazima uwe mfanyabiashara.
Mkuu chief hizi router za sasahv unazionaje? Hasa airtel
 
Back
Top Bottom