Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

TIGO TIGO TIGO
Natoa OFA na HUDUMA
Zifuatazo

1. OFA, Naunga Gb 1 kwa 1000 inadumu kwa siku 3. Unaungwa mara moja tu. hii ni OFA ya mara moja Tu.
Malipo Baada ya Kazi.

Piga/Whatsapp: 0710535327

2. TIGO business.
Kama inavyoonekan hapo chini..
Ni mfumo ambao unakuwa unalipia bili kila mwezi.. unachagua Aina ya kifurushi nakuingiza kwenye mfumo BUUURE!!!

Piga/Whatsapp: 0710535327
View attachment 2577064
Mkuu mbna hii huduma hata ofisin inafanyika vzuri tu
 
geosir nashukuru sana kwa kunisanua na bando la airtel SME
Najitungua tu na.mwekundu mmoja kila.mwezi
Screenshot_20230530-083254.png
 
Bila bando haiconnect na pia ikiconnect bando linalika kama kawa.
Naombeni mnieleweshe hapo
Mwalimu akifundisha nilisinzia
Iko hivi..

VPN ni mtandao binafsi, ambao unaweza kukupa nafasi ya kuona website zilizofungiwa kama Pornhub hivyo data kwensa sio ishu, ishu ni kwamba uliiwasha vpn for what purpose wakati una DATA😄😄😄

Pili baadhi ya VPN kama hii Ha tunnel, sky vpn, wire tunnel n.k zinakupa access ya kuingia mitandaoni bila kuwa na Bando lolote... hapa Tuliza akili ufundishwe.. ukileta ukorofi unaachwa kama ulivyo.. sio lazima wala
 
Iko hivi..

VPN ni mtandao binafsi, ambao unaweza kukupa nafasi ya kuona website zilizofungiwa kama Pornhub hivyo data kwensa sio ishu, ishu ni kwamba uliiwasha vpn for what purpose wakati una DATA

Pili baadhi ya VPN kama hii Ha tunnel, sky vpn, wire tunnel n.k zinakupa access ya kuingia mitandaoni bila kuwa na Bando lolote... hapa Tuliza akili ufundishwe.. ukileta ukorofi unaachwa kama ulivyo.. sio lazima wala
Nipo nimetulia nipate madini, sasa huo upande wa kuingia mtandaoni bila bando, nimefata taratibu zote unazoonyesha ila bado inalamba data zangu, ikiwa laini haina bando haiconnect nadhani umenielewa sasa.
 
Back
Top Bottom