Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,649
- 3,162
Me bado naitumiaWashasitisha ungewahi Jana ndo ilikuwa moto nimepakua mivitu yakutosha..
Me bado naitumiaWashasitisha ungewahi Jana ndo ilikuwa moto nimepakua mivitu yakutosha..
20mbps ni Sawa na 2.5 MB/s ambazo Kwa sekunde 60 (dk 1) utadownload data ujazo wa 150MB hivyo mfano Una file la 1gb (1000MB) ukigawa kwa 150MB utapata dk.6 hivyo Kwa file la 1gb utatumia dk 6 kumaliza.Hizo Mbps zinamaanisha nini
washakata aseeMe bado naitumia
Masharti yake ni yapi? Lazima mtumiaji awe eneo husika lililounganishwa au anaweza kutumia mahali popote mfano kaunganishiwa Dar anaweza kutumia akiwa MWANZA au sehemu nyingine tofauti na alipounganishiwa?Wanasambaza mikoa kibao mkuu, kwetu huku Tanga kila mtaa, mjini dar mitaa kibao naona wanasambaza, niliongea nao within 2 month project yao ya sasa itakua imekamilika.
Cheki mtaani kwako kama ipo unga
Unaletewa wayq nyumbani ina maana ni sehemu moja tu unatumia huwezi tumia kwengine.Masharti yake ni yapi? Lazima mtumiaji awe eneo husika lililounganishwa au anaweza kutumia mahali popote mfano kaunganishiwa Dar anaweza kutumia akiwa MWANZA au sehemu nyingine tofauti na alipounganishiwa?
Duh kumbe, sawa changamoto bado ipo kwa sababu muda wa kuwa nyumbani ni mchache kuliko kaziniUnaletewa wayq nyumbani ina maana ni sehemu moja tu unatumia huwezi tumia kwengine.
Inategemea unaishi vipi.Duh kumbe, sawa changamoto bado ipo kwa sababu muda wa kuwa nyumbani ni mchache kuliko kazini
Inategemea unaishi vipi.
Fiber si internet ya kutumia wewe tu, munatumia familia nzima ama hata familia nyingi.
Mnaweza changa watu kadhaa mkavuta.
Na kama upo kazini muda mrefu unaweza vuta huko kazini pia.
Internet za majumbani zote ni unlimited unalipishwa tu kwa speed.Mkuu hii sijajua matumizi yake. Ukishafungiwa unatumia kwa kununua bando au unalipia kutokana na matumizi? Au ukishalipia kiasi flani cha pesa unatumia unlimited mpaka ule muda wa Kufurushi uishe. Samahani, naomba unipe darasa kidogo
Internet za majumbani zote ni unlimited unalipishwa tu kwa speed.
Mfano hio TTCL 55,000 unapata speed ya 20mbps, inamaana ukilipa 55000 utatumia mwezi mzima GB unazotaka ni kwamba tu speed yako haitazidi 20mbps.
Ukitumia GB 100 ama 200 ama 500 ni wewe tu wao haiwahusu kiasi unachotumia.
Hii inchi ngumu sana watu wananiomba koneksheni .View attachment 2298901
Hii inanifaa sana. Asante kwa maelezo mazuri. Ngoja tujue huku kwetu mbezi mwisho wamefika au lah.
Mkuu hii nadhani siyo majumbani tu. Pia ni mobile unaweza tembea nayo ktk mizunguko yako au?Internet za majumbani zote ni unlimited unalipishwa tu kwa speed.
Mfano hio TTCL 55,000 unapata speed ya 20mbps, inamaana ukilipa 55000 utatumia mwezi mzima GB unazotaka ni kwamba tu speed yako haitazidi 20mbps.
Ukitumia GB 100 ama 200 ama 500 ni wewe tu wao haiwahusu kiasi unachotumia.
Hapana hio ni ya waya, huwezi tembea nayo.Mkuu hii nadhani siyo majumbani tu. Pia ni mobile unaweza tembea nayo ktk mizunguko yako au?
Chief ninapofanyia kazi kuna WiFi sema kuna password vipi unanisaidiaje nipate password yake kiurahisi .Hapana hio ni ya waya, huwezi tembea nayo.
Ambayo unatembea nayo ni zile za kupimiwa kama vifurushi vilivyotumwa juu, unapewa Idadi maalum ya GB.
omba wakupe ndiyo njia rahisiChief ninapofanyia kazi kuna WiFi sema kuna password vipi unanisaidiaje nipate password yake kiurahisi .