Vifupisho venye maana tofauti

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,382
Wakubwa kumekuwa na vifupisho vingi sana venye maana tofauti sana na iliyokusudiwa hebu tuviangalie baadhi yake;-
PCM-people calculate llke machine
PCB-People confuse brain
HKL-Hakuna kusoma kufaulu lazima
HGK-House girl kidokozi
CCM-Chama cha mafisadi
CHADEMA-Chama cha demokrasia na maandamano
ETC-Ending of thinking capacity
FFU-Fanya fujo uone,endelea sasa!
 
Wakubwa kumekuwa na vifupisho vingi sana venye maana tofauti sana na iliyokusudiwa hebu tuviangalie baadhi yake;-
PCM-people calculate llke machine
PCB-People confuse brain
HKL-Hakuna kusoma kufaulu lazima
HGK-House girl kidokozi
CCM-Chama cha mafisadi
CHADEMA-Chama cha demokrasia na maandamano
ETC-Ending of thinking capacity
FFU-Fanya fujo uone,endelea sasa!

nmependa hiyo ya chadema. ova
 
Jk
Julius Kikwete
Jakaya Nyerere
niache hapa pamenichanganyanijaribu majina ya ma'Rais wa nchi zote za Afrika mashariki starting initial
K
Kibaki
Kaguta
Kikwete
 
CCM-Chukua Chako Mapema
TCU-Tanzania Chagua Ujinga
UDP-Upendo Daima Pamoja
IFM-Ingia fanya mapenzi
loading..........................
 
Back
Top Bottom