Vifupi na maana zake.

PHD - Pumbavu Hana Dawa

TBC - Taahira bila Cheti (hajawa ceertified kuwa ni taahira ila ni taahira)
 
Kwellii stress za uchaguzi mkuu zinatesa!!! haya at least we have something to warm our selves
 
Katika medani mbalimbali za siasa,biashara na mambo mengine,yapo majina ya kila aina ambayo hulenga kuwakilisha aina fulani ya watu,jumuia au jambo lililokusudiwa,majina haya mara nyingi huwakilishwa kwa vifupi ila kutokana na ubunifu wa binadamu maana hiyo hubadilishwa kukidhi mazingira waliyopo.

Hapa chini naanza,tafadhali endeleza.

STK-Serikali ya Tanzania Kimeo

DH-Dingi Hana uwezo.

Endelea>>>>>>>>>>>>>>

PCB =person comfuse brain
 
Back
Top Bottom