Vifo vyafikia 80 huku ISIS waki-claim kufanya ugaidi huo Urusi.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Nafikiri sasa Russia watajionea wenyewe chungu ya hawa radicals na caliphates ambao wamekuwa wakiwa-support kiaina.

Wengine wana sema huo ni mpango wa CIA.

Wengine wana sema ni mchongo wa Ukraine.

Ila all in all, Rest in Peace kwa wahanga wote wa ugaidi wa kipumbavu kwa njia ya udangangifu wa kidini na imani.
 
Attachments

  • NQVmdR7pgpi1CUbl.mp4
    1.5 MB

ISIS waki-claim kufanya ugaidi huo Urusi.​

Putin atajua hajui, swaiba wake Iran ndo mlezi na mfadhili wa hao magaidi..

Islamic State na ugaidi ni kama ugali na mlenda.

ISIS ni akina nani??

ISIS (Islamic State of Iraq and Syria), is a Sunni jihadist group with a particularly violent ideology that calls itself a caliphate and claims religious authority over all Muslims...
 
Ukweli mchungu ni kwamba Marekani na Urusi wote wamekuwa wakitumia vikundi hivyo kwa maslahi yao fulani fulani.

Watu waliozaliwa kwenye vita na kukulia vitani, na wanaotarajia vita muda wowote maisha yao yote, huwa hawana la kupoteza.

Na wala hawaoni tatizo kuua ilimradi maslahi yao yametimia.

Pia ni watu wanaofika bei kirahisi kwa kuwa kimsingi hawana kanuni za maadili na viwango vyovyote vya uwajibikaji.
 
Hakuna muislamu hata mmoja ambaye ni gaidi.
Hao wanaojiita magaidi wana ajenda zao na mdhamini wao mkubwa ni U.S.A.
Kwa hiyo watetezi wote wa dini kama Houthi wa Yemen, Hizbullah wa Lebanon, Hamas wa Palestina, Al Shabaab wa Somalia, Boko Haram wa Nigeria, ADF wa Uganda, Janjaweed wa Sudan, nk.. wote hao wanamilikiwa na kutumiwa na makafiri USA?

Msikilize Trump (wa USA) anavyosema kuhusu hao watu..

View: https://youtu.be/FLRiThKIGHA?si=_jjIF0GDIhQmbCmr
 
Putin atajua hajui..

Islamic State na ugaidi ni kama ugali na mlenda.

ISIS ni akina nani??

ISIS (Islamic State of Iraq and Syria), is a Sunni jihadist group with a particularly violent ideology that calls itself a caliphate and claims religious authority over all Muslims...
Hatariii
 
Sio mara ya kwanza kutokea. Mwaka 2002 wachechen waliwahi teka theatre iliyojaa watu hapo hapo Moscow Watu wengi walikufa.
Nafikiri sasa Russia watajionea wenyewe chungu ya hawa radicals na caliphates ambao wamekuwa wakiwa-support kiaina.

Wengine wana sema huo ni mpango wa CIA.

Wengine wana sema ni mchongo wa Ukraine.

Ila all in all, Rest in Peace kwa wahanga wote wa ugaidi wa kipumbavu kwa njia ya udangangifu wa kidini na imani.
 
ISIS (Islamic State of Iraq and Syria), is a Sunni jihadist group with a particularly violent ideology that calls itself a caliphate and claims religious authority over all Muslims...
[/QUOTE]
 
Ni kama wale Wateka Meli nilishangaa walisumbua sana Dunia,India wamekaa wameona huu ni uongo kila wakiteka meli wanaenda kuichukua na kuwakamata hakuna Taifa kubwa lolote linalopongeza hizo hatua za India ..vitu vingi ni mipango yao bwana wakubwa...
 
Kwa hiyo watetezi wote wa dini kama Houthi wa Yemen, Hizbullah wa Lebanon, Hamas wa Palestina, Al Shabaab wa Somalia, Boko Haram wa Nigeria, ADF wa Uganda, Janjaweed wa Sudan, nk.. wote hao wanamilikiwa na USA?
1. Hamas
Freedom fighters wa Palestine, hawa wanadili na Israel iliyo vamia makazi yao. Hadi kwenye vikao vya UN wanatambulika.

2. Al Shabaab
Hawa wapo kisiasa wanataka madaraka, walianza kushabulia Kenya baada ya kenya kuingilia yasiyowahusu.

3. ADF in kundi kama M23

4. Boko Haram.
kwanza wapo Nigeria ya kaskazini ambapo kuna waislam wengi.
Hawa wanashambulia misikiti na kuuwa waislam, wanateka wasichana wakiislamu mamia kwa mamia na kuwaka na kuwauwa.
Wana shambuli maeneo yenye mIkusanyiko huko North Nigeria na kuuwa waislamu..

5.ISIS.
Hawa ndiyo washenzi kabisa, popote utakapowasikia ujie kuna mali.
Waliwahi kufika hadi Msumbiji kwenye maeneo ambayo kunatarajiwa kuchimba mafuta.
Hawa utasikia wakijinadi kwa kuhusika na milipuko moaikini huko iraq.
Hawa wana maliza waislam huko Syria.

Hakuna Muislamu Gaidi, hata wewe naamini hivyo pia.
 
Uzuri wa wenzetu wanauwezo wa kufanya uchunguzi wa kina na kifahamu. Na bahati nzuri mmojawapo wa magaidi amekamatwa alive.

Mbivu na mbichi zitajulikana tu ni suala la muda.

Russia akitaka kufanya ukatili ni zaidi ya US au Israel. Na hakika ugaidi huu utajibiwa kikatili sana. Lets wait and see
 
Nafikiri sasa Russia watajionea wenyewe chungu ya hawa radicals na caliphates ambao wamekuwa wakiwa-support kiaina.

Wengine wana sema huo ni mpango wa CIA.

Wengine wana sema ni mchongo wa Ukraine.

Ila all in all, Rest in Peace kwa wahanga wote wa ugaidi wa kipumbavu kwa njia ya udangangifu wa kidini na imani.
Pole kwa wahanga wa Ugaidi huko Urusi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom