Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

Na kimsingi huwezi kuwa RPC, RCO,RTO kama huna cheo kuanzia Assistant Commissioner of police yaani ACP kwenda juu.
 
Hapo kwenye RTO umetudanganya..RTO anaweza akawa yeyote wa kuanzia nyota tatu, SP au SSP.pia RCO anaweza akawa yeyote wa cheo cha kuanzia SP na kuendelea.ninae ndugu yangu ni RTO mkoa flañi ana cheo cha SP.
 
-uwe na Cheo Cha Assistant Superintendent (asp) halafu uwe RTO? Huyo ni DTO (Wa wilaya) haiwezekani ASP awe RTO napinga
  • kwa Sasa hivi vyeo vya kuanzia ACP ni vingi Sana kwenye Jeshi la Police, hivyo ni vigumu Sana kupata RCO Kwa SP, at least SSP Kama yule Mpelelezi mkuu wa kesi ya mauji ya aneth msuya (SSP David Mhanaya)
  • Huyo ndugu Yako ambaye ni RTO na ni SP atakuwa anakaimu na likely muda sio mrefu atashushwa kuwa either OCCID,au OCD
-
 
Sitaki ubishi.tufanye umeshinda..
 
Back
Top Bottom