Vifaa vya kiteknolojia vya kutengenezea (diagnosis) magari

georgei

Senior Member
Oct 14, 2009
110
8
Wanajamvi Habarini za Mida,Nilipotezaga password yangu ya JF,sasa nimeipata am back.

Nina shida moja tu:

Nataka kufungua Garage ya magari au (car service centre ya kisasa).Ila bado sina uelewa mzuri wa equipments za kiteknlolojia zinazotumika.
Naomba mwenyewe uelewa anisaidie.,Mfano mimi ninijua kifaa kinaitwa OBD II,unaweza kuscann electronic part ya gari lako na kujua errors na kurectify.

Nahitaji List ya vifaa vingine nisivovijua.
kudeal na
  1. Air Condition (AC).
  2. Braking system
  3. Transmission
  4. Umeme wa Magari etc
Wasalaam
MTUPORI
 
Vehicle Diagnosis Machine au VDM kwa kifupi hii ni umeme wa magari
 
fanya kitu au biashara ambayo unaujuzi na uelewa nayo mkuu.

hivyo vitu unavyotaka kufanya lazima viendane na uelewa harafu hizo mashine ni kama spana tuu kwa fundi.
 
Mkuu tafuta kompresa,misasa,nyundo,machine ya kupiga bit,drili na bit zake,madumu ya maji,jeki,bomba la kuvutia magari,machine ya kuchomelea ya gas na umeme,tuul boksi,malapulapu(waweza pata mitumbani),cheni loku,sehemu ya kuchimba sevisi bey,renji paipu,bisibisi,tepu na maskin tepu,patex,mafta breki,na shu brake na za klachi na presa na wewe
 
Daaa mkuu
Hiyo supermarket au Garage

Anyway asante
 
fanya kitu au biashara ambayo unaujuzi na uelewa nayo mkuu.

hivyo vitu unavyotaka kufanya lazima viendane na uelewa harafu hizo mashine ni kama spana tuu kwa fundi.

Mkuu
Kwani mengi anaweza kutengeneza soda???

Au Bakharesa anajua kupika chapati???
 
Mkuu
Kwani mengi anaweza kutengeneza soda???

Au Bakharesa anajua kupika chapati???
hahahahah nilikuwa na maana kuwa kama unahitaji ww mwenyewe yapaswa uwe na uelewa kidogo coz utapima harafu hujui hicho ulichokipima ni nn? kingine siku hizi mashine sio ishu tena coz mafundi tunazitumia kama spana tuu? lkn sio kama kitega uchumi hata wanao miliki magari wanapeleka kwa mtu anayeweza kutengeneza sio mpimaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom