georgei
Senior Member
- Oct 14, 2009
- 110
- 8
Wanajamvi Habarini za Mida,Nilipotezaga password yangu ya JF,sasa nimeipata am back.
Nina shida moja tu:
Nataka kufungua Garage ya magari au (car service centre ya kisasa).Ila bado sina uelewa mzuri wa equipments za kiteknlolojia zinazotumika.
Naomba mwenyewe uelewa anisaidie.,Mfano mimi ninijua kifaa kinaitwa OBD II,unaweza kuscann electronic part ya gari lako na kujua errors na kurectify.
Nahitaji List ya vifaa vingine nisivovijua.
kudeal na
MTUPORI

- Air Condition (AC).
- Braking system
- Transmission
- Umeme wa Magari etc
MTUPORI