Video za ngono na tatizo la nguvu za kiume

Kuna hormone Ina itwa dopamine, hii huzalishwa na ubongo ili kuleta furaha au hisia kwa mwili.
👉Sasa unapo angalia porn Mara kwa Mara, una sababisha ubongo uzalishe hormone hiyo kupita kiasi ili uweze kupata msisimko.
👉Na kadri unavyo kuwa addicted Sana, ndo una zidi kujiua.
👉 mshamba_hachekwi au Baba Swalehe wata ongezea.
dronedrake Acha nyeto🤒
dopamine overload inasababishwa na vitu vingi mbona, afu mnaojifanya mnajua sana madhara ndo mnaangalia si ukubali tu sio shida😅
 
Leo naomba niwashauri vijana tuachane na tabia ya kupenda kuangalia video za ngono ni hatari Sana kwani zinasababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Siku hizi vijana wengi Wana matatizo ya nguvu za kiume zinazotokana na kuangalia Sana picha za ngono (pornograph). Video za ngono huathiri vichocheo vya ubongo kwenye mapenzi na kumfanya mwanaume kuwa na hisia sugu kiasi kwamba hata akikutana na mwanamke hisia zake zinahisi kawaida kiasi kwamba hawezi kumwamsha hisia Kwa sababu amezoea kuangalia picha za ngono hii ndiyo inayoitwa porn induced erectile-dysfunction.

Video za ngono zinaweza kubadili kabisa mvuto wa kimapenzi na kihisia wa mwanaume ambapo siku hizi wanaume wanaangalia mpaka video za ngono za gay ili wamwage. Hali imefikia sehemu mbaya sana

Ewe kijana chukua hatua sasa ya kuacha kabisa kuangalia video za ngono na kupiga punyeto ili unusuru mahusiano yako ya kimapenzi ya baadaye.
Jali maisha yako.
 
Nguvu za kiume hauna na huna tu
Na ukiwa nazo unazeeka hadi unakufa nazo
Me nimetazama picha za porno na kunyetuka muda mrefu ila bado moto napeleka na watoto nazalisha
Hata ule chips
Unywe bia
Liboloo linasimama na show kali unapiga
 
Back
Top Bottom