Video za ngono na tatizo la nguvu za kiume

lord atkin

Senior Member
Sep 30, 2018
197
683
Leo naomba niwashauri vijana tuachane na tabia ya kupenda kuangalia video za ngono ni hatari Sana kwani zinasababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Siku hizi vijana wengi Wana matatizo ya nguvu za kiume zinazotokana na kuangalia Sana picha za ngono (pornograph). Video za ngono huathiri vichocheo vya ubongo kwenye mapenzi na kumfanya mwanaume kuwa na hisia sugu kiasi kwamba hata akikutana na mwanamke hisia zake zinahisi kawaida kiasi kwamba hawezi kumwamsha hisia Kwa sababu amezoea kuangalia picha za ngono hii ndiyo inayoitwa porn induced erectile-dysfunction.

Video za ngono zinaweza kubadili kabisa mvuto wa kimapenzi na kihisia wa mwanaume ambapo siku hizi wanaume wanaangalia mpaka video za ngono za gay ili wamwage. Hali imefikia sehemu mbaya sana

Ewe kijana chukua hatua sasa ya kuacha kabisa kuangalia video za ngono na kupiga punyeto ili unusuru mahusiano yako ya kimapenzi ya baadaye.
 
Pumba
 
Picha za zaushahidi kusindikizia uzi tafadhali
 
Labda kwa wanawake ila kwa wanaume kuepuka hyo ni ngumu kuna mda mtu maisha yana kupiga mpaka una pauka na mfukoni huna kitu na hisia zinakuwa juu ni mwanamke gani utampata bila hela hata ukimpata bure hela ya guest unatoa wapi na wanawake walivyo na dharau kiufupi simlaumu mwanaume ambaye anapiga nyeto na kuangalia pornography ni growth stage ya wanaume wengi sana NO MONEY NO HONEY.
 
Kuna hormone Ina itwa dopamine, hii huzalishwa na ubongo ili kuleta furaha au hisia kwa mwili.
👉Sasa unapo angalia porn Mara kwa Mara, una sababisha ubongo uzalishe hormone hiyo kupita kiasi ili uweze kupata msisimko.
👉Na kadri unavyo kuwa addicted Sana, ndo una zidi kujiua.
👉 mshamba_hachekwi au Baba Swalehe wata ongezea.
dronedrake Acha nyeto🤒
Nyeto nzuri wewe achana na sisi mkuu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom