Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

Uzima Tele

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
1,104
2,345

Kwa ufupi na kwa uchache;

"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"

"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."

"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"

"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"

Nẞ:
##Tunaomba "wasiojulikana au michawa ya mama", msije makamvizia na kumjibu hoja za Binti huyu kwa risasi kwa maana CCM ya siku hizi ni wauji na majambazi matupu yasiyoweza kujibu hoja yoyote kinzani dhidi yao...

Na hapa kiukweli kabisa, dada huyu kamsiliba kwelikweli mama yenu mpaka huko aliko pengine akakosa usingizi kabisa leo...!

Credit & Courtesy to Jambo TV
 
View attachment 2753882

Kwa ufupi;

"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anazungumza amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni zao la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"

"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."

"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"

"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"
Aisee
Labda anaweza kusikiliza wanawake wenzie
 
Kinachotupa tumaini wengi wameelewa changamoto za kiuongozi zinazopatikana kwa kiongozi wetu huyu, wanawake karibu wote wamesha kubali hatoshei, huko kwenye chama chake wengi wao wameshakiri kwamba sio kawaida, kule kwenye na anakotoka napo wanasema yao, kule anakoamini napo wana lugha moja nasi.

Waliobaki ni wale wenye kiwango cha juu cha unafiki lugha rahisi ni chawa ndio pekee wanaounga mkono aina ya uongozi wake.
 
View attachment 2753882

Kwa ufupi na kwa uchache;

"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"

"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."

"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"

"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"

Credit & Courtesy to Jambo TV
Ngoja machawa wa mama waje wakiongozwa na Lucas mwashamba choiceVariable Faizafoxy covax and co.
 
View attachment 2753882

Kwa ufupi na kwa uchache;

"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"

"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."

"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"

"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"

Credit & Courtesy to Jambo TV
Huyu dada ameenea, hakika kuna watu kila nikijaribu kukata tamaa, kuna watu wananirudisha mchezoni.
Huyu bint anatosha sana akabidhiwe kushughulika ni Samia na genge lake la Majangili wa nchi.
 
Back
Top Bottom