Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,778
48,706
Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
 
Bado nashangaa hizi imani/dini, yaani hapo ni kwa moyo wa ndani kabisa mtu anasimama anasema huwezi kumsema Allah vibaya hiyo ndiyo adhabu yako.

Hivi humu misikitini ambamo ustaadhi, sheikh na maulamaa wanafundisha kuwa kuna kiyama na adhabu, sasa kama mwanaadamu anatoa adhabu hapa hapa duniani badala ya Allah siku ya kiyama nini maana yake hii?.
 
Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.

Nchi zinapaswa ziongozwe ki-secular tu. Ukiisha sema sijui Jamhuri Fulani ya Kiislamu unatafuta matatizo tu. Raia waendelee kufuata dini wanazotaka ila nchi iwe neutral. Angalia ujinga huu wa Iran eti hawataki mwanamke apite hadharani na nywele wazi kichwani.

Ingekuwa mavuzi ya kwenye "K" ningeelewa, lakini nywele za kichwani?? Ni UHAYAWANI tu.

Hadi mwaka 1978/9 kwenye mapinduzi ya Iran yaliyomuondoa Mohamed Reza Pahlavi, Iran ilikuwa ni nchi yenye uchumi wa kimagharibi. Ila Ayatollah Khomeini akaleta mambo yake ya kuongoza kwa Quran, matokeo ndiyo huu ujinga wa kugombana na mavuzi ya wanawake
 
Wavaa kobaz mna shida, hivyo kumpigania huyo allah akbar wenu kwa kumiminia wananchi risasi unaona inaendana utoaji wa sadaka.
Mwarabu aliwaingiza mkenge wa kijinga sana.
Mungu hawezi kujijengea mwenyewe kanisa na kujihubiri mpaka ajengewe na watu na ahubiriwe na watu!?..kwa nini asipige yowe mwenyewe huko mbinguni!?..Hana kinywa,hawezi!?...Vita vya msalaba alikua anapiganiwa mungu gani!?
 
Hakuna sehemu Mungu hupiganiwa kwa kutoa sadaka, ila nyie "mungu" wenu amewaagiza kabisa kwe kuran mchinje watu.
 
Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.

Ma-mullah wanaogopa mabint wadogo hadi wanawatwanga risasi. Hatari sana
 
Back
Top Bottom