Video: Sehemu ya hotuba yangu nikitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ulikuwa unatangaza nia ama ulikuwa unafanya kampeni live.... acha kutufanya wajinga
 
fanya hivi muungemkono lowassa akupe uwaziri kamili miaka mitano fanyakazi nzuri, next term upate uwaziri tena kisha uombe urais
 
Imekuwaje hukutupatia mpango kazi wa namna utakavyoyatatua matatizo uliyoyaorodhesha? By the way kwanini unafikiri kigezo kikubwa cha kuwa Rais ni kuzaliwa kwenye familia maskini kama yako?

Tumechoka watu wanaolalamikalalamika na kututajia matatizo yetu kila siku, tunahitaji watu wanaotuambia tukiwapa ridhaa ya kutuongoza watayatatuaje matatizo tuliyokuwa nayo.
 
Mayo uliongea kwa confidence sana, ila bado unahitaji kujijenga ndani na nje ya chama chako.
 
Mwigulu Nchemba juzi kwa mara ya kwanza nilikuelewa. Nitakuunga mkono chama chako kikikupitisha. Hongera kwa kuthubutu
 
Last edited by a moderator:
Kweli katika watia nia wote waliozungumza wewe ni the best!!kwa kipaji cha kuongea unacho,hadi sasa unaongoza,ila matatizo uliyoya ainisha ni very common,yanakulikana,tunayaishi kila siku,tunahubiriwa kila mara,na kama wenyewe mnavyokiri matatizo yote hayo yametokana ama na madhaifu ya ccm ama ujasiri wa watendaji wa ndani ya ccm,sasa wewe utajitengaje na mfumo huo huo uliokulea wewe pamoja na matatizo hayo?yaani ni kama wewe na hayo matatizo uliyotuainishia ni watoto wa baba mmoja,ccm!!
 
Wewe dogo uliharibu CV yako pale ulipotupa na kusigina bajeti ya wapinzani kisa JK alikuvimbisha kichwa, ona sasa unaomba kura hata za wapinzani uliosigina bajeti yao, mimi siwezi kukuchagua na hotuba yakom sikuisikiliza
 
Back
Top Bottom