Video: Nyerere Asema Ana Haki ya Kuwa Dictator

'under the constitution, i have sufficient power(s) to be a dictator'....he said....Hakusema ana "haki ya kuwa dikteta" 'i have the right to be a dictator' kama kichwa cha mada kinavyosema

According to a video clip, if you translate that speech in a Political Science School of Thought, Nyerere was a Dictator.
 
Ubishi mwengine haufai kabisa; hata ukimuuliza mtoto mdogo atakuambia Nyerere alikuwa Dictator. Sasa wewe unaebisha, unataka kusema Nyerere alikuwa Mwana Democrasia?
 
And exactly which School of Thought are you alluding to here? Al Qaeda? Ansaar al Sunnah? Or some other garbage homegrown Mohammedan jihadist creed?
 
Ubishi mwengine haufai kabisa; hata ukimuuliza mtoto mdogo atakuambia Nyerere alikuwa Dictator. Sasa wewe unaebisha, unataka kusema Nyerere alikuwa Mwana Democrasia?

Its simple English stupid! Hebu mtaje mtawala angalau mmoja wa Nchi ya Kiislam ambaye ni Mwana Demokrasia.

Is Islam democratic? Did the historical figure (Warlord and merciless Butcher) Mwamedi adhere to any semblance of democracy in his dealings with people?

Halafu, how come its only Mohammedans (yourself, John10, Shamu, GayVana et al) who buy into this ignorant bullshit?
 
Enzi alizoishi Nyerere zina tofauti moja kubwa na sasa...mabadiliko ya siasa za ulimwengu. Kwa wakati ule, given the political dimensions which exisisted, angeliwea kufanya kitu chochote bila kuulizwa na mtu yoyote ili mradi tu aamue kuwa mashariki au magharibi maana kulikuwa na cold war. Nyerere alicheza karata zake kwa umakini mkubwa.
Hata kama tutajaribu kumchafua leo, ukweli ni kwamba utafiti unaendelea kufanyika tena with close look kwa yote aliyofanya.
Kumzushia mambo yasiyo kweli, hakutamfanya ashindwe leo, maana kwa hekima zake alishashinda toka 1985 alipoamua kung'atuka. Na watu huwa wanasema if you cant conquer them, then join them. Vinginevyo ni kupiga kelele za debe tupu
 
nimeangalia video yote na hakuna hata mahali pamoja jkn ametamka eti "ana haki ya kuwa dikteta". Wewe labda kiingereza hujui au umempakazia jkn kwa sababu za udini.

Noana nyie waswahilina mmepewa jihad nyingine misikitini kwenu ya kulichafua jina la jkn ndiyo maana kila siku mnakurupuka na mada za uzushi na uwongo juu ya jkn.

Kama unataka mfano wa dikteka na chinjachinja wa kweli basi huna haja ya kwenda mbali > contemporary wa jkn, alhaji aak na family dynasty yake inayotamba hadi leo.

big brother umeweka wazi tatizo wengi hawajui jinsi jamaa walivyo uwa watu zenji historia imepindishwa makusudi kuwalinda hao mafisadi wa maisha ya watu
 
Dictator haachii madaraka kwa hiari, ama anapinduliwa au anakufa.
Dictator hamwachii madaraka wa mbali, ama mwanaye au ndugu yake.
Dictator hajiiti dikteta kwa maneno yake, dunia ndiyo yamhukumu.
Wanaomkashifu Nyerere hivi leo, wanagawanyika katika makundi mawili.

  • Kundi moja laongozwa na walafi aliowanyima ulaji.
  • La pili laongozwa na limbukeni, alowatoa ujingani.
Woote nawapa pole !
 
This is ad hominem.
 
Its simple English stupid! Hebu mtaje mtawala angalau mmoja wa Nchi ya Kiislam ambaye ni Mwana Demokrasia.

Is Islam democratic? Did the historical figure (Warlord and merciless Butcher) Mwamedi adhere to any semblance of democracy in his dealings with people?

Halafu, how come its only Mohammedans (yourself, John10, Shamu, GayVana et al) who buy into this ignorant bullshit?

You are straw man.
 
Dictator haachii madaraka kwa hiari, ama anapinduliwa au anakufa.
Dictator hamwachii madaraka wa mbali, ama mwanaye au ndugu yake.
Dictator hajiiti dikteta kwa maneno yake, dunia ndiyo yamhukumu.
Wanaomkashifu Nyerere hivi leo, wanagawanyika katika makundi mawili.

  • Kundi moja laongozwa na walafi aliowanyima ulaji.
  • La pili laongozwa na limbukeni, alowatoa ujingani.
Woote nawapa pole !

Musharraf was a Dictator. What happen to him? he did same as Nyerere.
 
Dictator haachii madaraka kwa hiari, ama anapinduliwa au anakufa.
Dictator hamwachii madaraka wa mbali, ama mwanaye au ndugu yake.
Dictator hajiiti dikteta kwa maneno yake, dunia ndiyo yamhukumu.
Wanaomkashifu Nyerere hivi leo, wanagawanyika katika makundi mawili.

  • Kundi moja laongozwa na walafi aliowanyima ulaji.
  • La pili laongozwa na limbukeni, alowatoa ujingani.
Woote nawapa pole !
Ni sawa na kuwa si kila dikteta anaingia madarakani kwa nguvu, Hitler hakumhini mtu, alichaguliwa na wajerumani kwa uchaguzi huru na haki.
Na si kila aliye itwa dikteta na hukumu za kilimwengu alikuwa hivyo, ulimwengu huu uliojaa dhulma, ukatili na maonevu nani ana haki ya kilimwengu ya kuhukumu uadilifu wa mwenzie, wanaopelekwa The Hague kwa mashtaka ya uhalifu wa kivita,wanatofautinaje na wale wanaopeleka majeshi ya uvamizi nchi za watu, wanaokufa humo watoto, wanawake, vilema watu wasionahatia kabisa, nani atawahukumu...hawaitwi madikteta lakini je kwa kuwa ulimwengu haukutowa hukumu dhidi yao...mbali na kurushiwa viatu..tu,hawastahili kupelekwa the hague?
Hakuna anayemkashifu Nyerere kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake yawe ya siri yawe ya dhahiri. Nyerere alikuwa namakosa yake...kataa au kubali...yakisemwa ww ita ulimbukeni...lakini ujinga mkubwa wa akili za watu ni kuamini kuwa binaadamu wenzao wengine hawana mapungufu au hawakuwahi kuwa na mapungufu..kwa kuwa siku zote walijifanya na watu wakawaona kuwa ni watakatifu..
Nyerere na awe au afanywe mtakatifu lakini alikuwa na mapungufu makubwa ya kiuongozi yanayoitafuna nchi mpaka leo. Haya mambo ya watu kulindana wakifanya maovu yameanzia wakati wa utawala wake. Hakumpa nchi ndugu yake lakini kahakikisha aliyempa nchi anakuwa chini ya maongozi yake muda wote.
Nyerere ali'ngatuka kukaa ikulu tu laini aliiendesha nchi akiwa kwake Msasani...matukio ya G55 na OIC ni mifano hai na halisi ya nani alikuwa boss kati ya Mwinyi na Nyerere.
Nakupeni pole msiojuwa matatizo ya nchi yenu yameanzia wapi.
 
salaaaaleh! ama kweli nyerere alifanikiwa kuwaingiza watanganyika woga ndani ya vifua vyao! yaani mpaka nyerere keshakufa watanganyika mnaogopa kusema ukweli kuwa nyerere alikuwa mbovu mbaya, product ya siasa za kuwatia raia woga tanganyika tunaziona, mpaka leo watanganyika hata kutia kura vyama vya upinzani wanaogopa, wanaona kama nyerere atafufuka awapeleke magerezani. amkeni watanganyika hii ni karne ya sayansi na teknolojia .call a spade a spade. wekeni true colour ya nyerere acheni kuogopa ogopa. mnapomuita "baba wa taifa" . No thanks, bora nikatafute taifa jengine kulikoni kuwa na baba wa taifa nyerere.
 
Unakaribishwa Iran.
 
Nyerere was a Fabian Society socialist, an intellectual, a literati who controlled the intelligentsia, by saying what he said he was subtly saying in words what he was already doing in deeds.He was basically saying "I am a dictator and ain't none of y'all can do nothing about it, y'all better be glad I am a benevolent dictator".
 
Thinking in yellowish and greenish...idumu TANU...I think fews of your likes still hold the group exits....oh poor boy!
Rush to judgement, rush to judgement, with a closed mind. I am not TANU and I am not CCM. And I love Julius Nyerere. Go figure!
 
Back
Top Bottom