Video: Nyerere Asema Ana Haki ya Kuwa Dictator

Mnyasa please! Unataka kutuambia hayati baba Kanyama Chiume alikimbia udikteta wa Banda kule Malawi/Nyasaland kuja kuomba hifadhi kwa dikteta JKN, siyo? Dude, does it make any sense to anyone?

Ama kweli fadhila za punda...wewe kweli ungekuwa humu ndani unalumbana kwa Kiswahili (na Kiingereza chako cha mbwembwe nyingi) na kushiriki kama Mtanzania yeyote isingekuwa kwa utu na huruma Mwalimu aliyoonyesha juu ya babako na familia yake?

Umshukuru JKN kwa hicho kiburi na majivuno unayoonyesha hivi leo dhidi yake maana isingekuwa JKN wewe na familia yenu yote mngekuwa wapi maana hata kule Malawi hali hivi sasa ni balaa Ukimwi na dhiki ya ajabu imetawala jamii...Damn you dude!

Kwa masikitiko makubwa nakutaka waombe radhi familia ya Chiume na watu wa Malawi, ambao wengine wanasoma humu, kwa kuchukua irresponsible license na kuwachanganya na mtu asiyewahusu kabisa.

Papara zako hizi za kufakamia watu na mambo bila ya kuwa na werevu wa kutosha zinatosha kumfahamisha mtu yeyote mwenye uwezo wa kutanabahi kuwa wewe huna ujualo zaidi ya kupayuka.

Familia ya Chiume wana historia na deference kubwa kwa Nyerere, maandishi yako ya papara yanadhihirisha huijui familia ya Chiume wala mimi.

Kama umeweza kufanya a serious assumption, wrong one at that, na kuvunja kanuni ya anonymity ya JF, na kupakazia familia ya watu mambo yasiyowahusu kwa nini tufikiri unajua lingine lolote unalotaka kusema?

Huo u bully wako nenda kawafanyie wengine, hapa umekumbana na Blu-Magic mpaka unaona maluweluwe kunifananisha na mtu siye!
 
Definitions

Merriam-Webster Dictionary:
Main Entry: dic·ta·tor
Pronunciation: \ˈdik-ˌtā-tər, dik-ˈ\
Function: noun
Etymology: Latin, from dictare
Date: 14th century
1 a : a person granted absolute emergency power; especially : one appointed by the senate of ancient Rome b : one holding complete autocratic control c : one ruling absolutely and often oppressively
2 : one that dictates

The Free Dictionary:
1. a. An absolute ruler.
b. A tyrant; a despot.

2. An ancient Roman magistrate appointed temporarily to deal with an immediate crisis or emergency.
3. One who dictates: These initials are those of the dictator of the letter.

Oxford English Dictionary:
dictator


• noun a ruler with total power over a country.



..................................................................


JKN anaangukia kwenye mojawapo ya hizo definitions?

Mbona jibu unalo mwenyewe. Ustaadh, "Unauliza nazi Kisiju?"
 
Nimesema hivyo tangu mwanzo, wewe tu.



Mimi sija benefit kwa largesse yake, and no you cannot include UPE kama largesse.Sijawahi kufanya kazi serikalini wala ku benefit unfairly from his system.



Simaanishi kwamba Nyerere hana admirable qualities, kutotaka utajiri na kujilimbikizia mali kwake ni mfano wa kuigwa. ka hiyo siwezi kushangaa kama Mtikila ameona some qualities za Nyerere. Hayo mengine ni suspect or subject to interpretation and or realpolitik, pengine Mzee Mtikila anakushtukia kwamba wewe ni "Jasusi"? kwa vile sikuwa hapo siwezi kusema sana, I will go with Mtikila's public statements



Najua utapenda kusisitiza ushahidi kwa vile unajua ushahidi wote umeshaharibiwa na walioathirika wanaogopa.Nchi yetu wanaosoma magazeti ni 3% na watu wako passive kichizi, Nyerere ni demigod na hawawezi kumsema, haya yatakuja kujulikana for sure 50 years to come.

Huyo ajiitae Jasusi amesahau? au hakuwepo? wakati Wizara ya Mambo ya ndani ilipochomwa moto muda kidogo kabla ya Nyerere kustaafu.
 
Last edited by a moderator:
Waislamu mna wivu na Nyerere juzi kamuinua muislamu mwenzenu pale S.A angalau na yeye kauza sura duniani lakini bado mnamdharau.
cc FaizaFoxy.
 
Last edited by a moderator:
Na yeye nyerere aliinuliwa na kina nani kama si Waislamu?

Nyerere alipewa tiketi ya ndege na kanisa catholic ili akadai uhuru UN waislamu walikuwa wanataka uhuru usipatikane mpaka wawe tayari kuendesha kupitia chama chao kile.
 
Nyerere alipewa tiketi ya ndege na kanisa catholic ili akadai uhuru UN waislamu walikuwa wanataka uhuru usipatikane mpaka wawe tayari kuendesha kupitia chama chao kile.
Chama chao kipi tena wakati TANU iliasisiwa na nyerere pale Pugu?!

Na ndio Waislamu hao hao baada ya kuona mambo yanakwenda vizuri walijiingiza na kumkatia tiketi nyerere mara ya pili alipokwenda UN...
 
Waislamu mna wivu na Nyerere juzi kamuinua muislamu mwenzenu pale S.A angalau na yeye kauza sura duniani lakini bado mnamdharau.
cc FaizaFoxy.

Umesahau kuwa huyo-huyo ndio alimtilia kauzibe 1995 akampa mkatoliki mwenzie? hatusahau.

Kumbuka; Kikwete hakuwekwa na Nyerere madarakani, Nyerere alikuwa kisha kufa zamani wakati Kikwete anachukuwa madaraka.
 
Huyo ajiitae Jasusi amesahau? au hakuwepo? wakati Wizara ya Mambo ya ndani ilipochomwa moto muda kidogo kabla ya Nyerere kustaafu.
Hapa hujajibu hoja yangu. Nataka uniwekee nukuu aliposema Nyerere kuwa makabila fulani hayafai kutawala Tanzania. Hii ya kuchomwa moto wizara ya mambo ya ndani inahusikaje hapa? mafisadi walikuwa wakificha ushahidi wa jinsi wanavyokula hela za wasomali na kuwapa uraia wa Tanzania. Hotuba zote za Mwalimu ziko TBC si wizara ya mambo ya ndani. Put up or shut up!
 
Back
Top Bottom